Mambo 7 usiyoyajua kuhusu Viwanja vya Ndege vya Jeshi la Marekani vinavyoelea baharini " US Aircraft Carriers"

Carrier haijaigonga meli ya mizigo, zimegongana na ile sehemu ni nyembamba sana. Kwenye sheria za majini mwenye chombo kidogo anampisha mwenye kikubwa, carrier yenye kuzidi viwanja viwili vya mpira ianze kupisha sehemu nyembamba.
Si kweli

Commanding officer wa SS TRUMAN carrier ameondolewa kwa sababu ya uzembe


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…