Digitalprofits
Member
- Mar 7, 2025
- 15
- 14
Kama umekuwa ukipata shida ya kuwahi kufika kileleni (Premature Ejaculation) au uume kusimama lendelege (Erectile Dysfunction), ujue hauko peke yako. Tafiti zinaonyesha zaidi ya 70% ya matatizo haya yanasababishwa na kisaikolojia, na 30% yanatokana na sababu za kimwili. Bila kushughulikia chanzo, tatizo hili linaweza kuendelea na kuharibu maisha yako ya ndoa au mahusiano.
1. Sababu za Kisaikolojia (70%)
Wasiwasi na Hofu (Anxiety): Hofu ya kumridhisha mpenzi wako au mashaka kuhusu uwezo wako wa kudumu wakati wa tendo la ndoa hupelekea kumaliza mapema.
Msongo wa Mawazo (Stress): Shida za kifedha, kazi au familia huathiri sana uwezo wako wa kudumu kitandani.
Aibu na Kujiamini Kidogo (Low Self-esteem): Unapojiona huna uwezo wa kumridhisha mpenzi wako, mwili wako hujibu kwa kumaliza mapema.
Hofu ya Mimba au Magonjwa: Mawazo ya mimba isiyotarajiwa au magonjwa ya zinaa hufanya tendo liwe la papara na lisilo na udhibiti.
Mawazo Mengi (Overthinking): Kufikiria sana jinsi ya kuepuka kufika kileleni kunakufanya ushindwe kujizuia zaidi.
2. Sababu za Kimwili (30%)
Homoni Zisizo Kawaida: Viwango vya testosterone au dopamine vikibadilika, vinaathiri nguvu na hamu ya tendo la ndoa.
Shida za Mfumo wa Neva: Uharibifu wa neva kutokana na ajali au magonjwa kama multiple sclerosis unaweza kupunguza udhibiti wako.
Msukumo wa Damu Usio wa Kawaida: Shida za mtiririko wa damu kwenye mishipa ya uume hupelekea uume kusimama kwa muda mfupi au kulegea.
Upigaji Punyeto Kupita Kiasi: Uraibu wa punyeto unasababisha msisimko kupita kiasi na kuharibu misuli ya uume, hivyo unashindwa kudumu wakati wa tendo.
Hisia Kali Kupita Kiasi (Hypersensitivity): Wanaume wengine huzaliwa na hisia kali kwenye uume au huzipata kutokana na maisha wanayoishi.
Madhara ya Dawa: Dawa za msongo wa mawazo, shinikizo la damu au dawa za kienyeji za kuongeza nguvu za kiume mara nyingi huharibu afya ya uzazi badala ya kusaidia.
Afya Duni kwa Ujumla: Kisukari, shinikizo la damu, saratani ya tezi dume, magonjwa ya zinaa na lishe duni huathiri moja kwa moja nguvu za kiume.
Kwa Nini Usikae Kimya?
Tatizo la kuwahi kufika kileleni au uume kushindwa kusimama linaweza kuharibu furaha ya ndoa au mahusiano, kuongeza msongo wa mawazo na hata kuathiri kujiamini kwako. Lakini suluhisho lipo na linaweza kuanza leo.
Victoria Green Herbal tumesaidia wanaume wengi kurudisha nguvu zao za kiume na kuondokana na tatizo hili bila madhara ya dawa kali za hospitali. Tunatumia tiba asilia zilizothibitishwa kusaidia mwili wako kujirudishia nguvu kwa njia ya usalama na yenye matokeo ya muda mrefu.
Usingoje hali iwe mbaya zaidi. Anza safari ya kupona leo.
Tuma ujumbe WhatsApp sasa hivi kupitia namba:
+255 747 558 143