Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

Wapo tayari wale nyasi ili watengeneze mabom.
Nawapongeza kwa hilo..hapa kwenu wewe hayo mabom ya kujilinda hakuna na ufisadi kila kukicha!!afadhali ya wao wameamua moja kujiimarisha kijeshi tu.
 
Kwenye umasikin tunauziwa mbuzi kwagunia, nchi inayoweza kurutubisha nuclear, kutengeneza ICB (intercontinental bomb} kufanya majaribio kila leo tena ikikabiliwa navikwazo kutoka kila kona eti unaiita masikin... Wakati wewe ulie kwenye uchumi wakati wakizuia condom tu mnapoteana
 
Kwamba jamaa silaha zao za kizamani, ila Mwamerica anaeogopwa duniani hapati usingizi Kwa kuyo Mkorea,.
Hizi ni propaganda
 
Back
Top Bottom