Kwenye umasikin tunauziwa mbuzi kwagunia, nchi inayoweza kurutubisha nuclear, kutengeneza ICB (intercontinental bomb} kufanya majaribio kila leo tena ikikabiliwa navikwazo kutoka kila kona eti unaiita masikin... Wakati wewe ulie kwenye uchumi wakati wakizuia condom tu mnapoteana