Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

Ni kweli mkuu, hapa ndio watu huwa wanasingizia jinamizi kumbe hakuna cha jinamizi wala nini bali ubongo unataka ushtuke ili ulale vizuri. Mfano mi nikilala nimevaa soks zinazobana ni lazima niote ninakabwa na jinamizi, au nikilalia mto mgumu na shingo ikawa imejikunja ni lazima nitaota nakabwa na jinamizi. Mwisho wa siku niligundua kuwa hakuna shetani anaitwa jinamizi bali ni mfumo wa mwili kujilinda dhidi ya ulalaji vibaya, au kublock flow nzuri ya damu au oxygen.
 
nimepitia ma2 ma3,nadhani nkipata muda nitaisoma yote kwa makini.nimeielewa sana iyo ya vidole kujikunjaa..ase ach miil yetu,ifanye kazi vema tusiizuie.
 
Duh asante kwa elimu mie la mwisho ndo linanitokeaga sana yani nashtukaga sometime mate yanakua yamenipalia kama yamenikaba basi nashtuka fasta mapigo ya moyo sasa yanaenda fast mpaka nikawa naogopa labda ni presha au iziraeli ananinyemelea[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…