Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalenga kidamali Nyamihuu Magubike Kipera Nzihi IlalasimbaHongera zako mkuu, hii kwangu ni post bora kuwahi zisoma hapa jf... Hongera sana nimeielewa mno...
Ni kweli mkuu, hapa ndio watu huwa wanasingizia jinamizi kumbe hakuna cha jinamizi wala nini bali ubongo unataka ushtuke ili ulale vizuri. Mfano mi nikilala nimevaa soks zinazobana ni lazima niote ninakabwa na jinamizi, au nikilalia mto mgumu na shingo ikawa imejikunja ni lazima nitaota nakabwa na jinamizi. Mwisho wa siku niligundua kuwa hakuna shetani anaitwa jinamizi bali ni mfumo wa mwili kujilinda dhidi ya ulalaji vibaya, au kublock flow nzuri ya damu au oxygen.Na kwa kuongezea hiyo namba 8 ubongo pia unahisi mapigo ya moyo yameshuka sana na kuwa unataka kufa huwa na tabia kukuotesha ndoto hasa zile ambazo upo juu ya jengo au juu ya bati na umeteleza unaanguka lakini kabla hujafika chini unashtuka. Hii inakusaidia kuamka kwa nguvu na kuongeza mapigo yako ya moyo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tatizo ccm hawataki RAIA waelimike, utasikia nahuyo mleta mada kakamatwa kwa kosa la uchochezi!!!!!!!!!