Mambo Ambayo Hutofundishwa Shuleni: Ukweli Kila Kijana wa Kiume Anapaswa Kujua ni kwamba hakuna anayekuja kukuokoa!

Kanuni nyingiii aaah! Vyovyote vile maisha yatakuwa yatasonga tu
Naomba utofautisha kanuni na ukweli mchungu, kanuni zaweza "kujadiliwa" ila ukweli mchungu utakusulubu na haujali, ukweli mchungu ni Jaji, Shahidi na Hukumu ndani ya mwili mmoja
 
Bottom line sii hela anaisaka apate kitobo
Kuna wanaosaka pesa ili wasafiri, wajifungie ndani wacheze video games kwenye makompyuta waliyonunua kwa mamilioni na kadhalika na kadhalika kitobo kinakuja by the way kama kuagiza Chipsi macdonalds
 
Naomba utofautisha kanuni na ukweli mchungu, kanuni zaweza "kujadiliwa" ila ukweli mchungu utakusulubu na haujali, ukweli mchungu ni Jaji, Shahidi na Hukumu ndani ya mwili mmoja
Maishani ukiwa makini sanaaaa unaangukia pua
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…