Mambo ambayo nchi ya Marekani imezidiwa kwa mbali na nchi ya Tanzania

Hilo ni kweli ila ilikuwa mada ya jmos ambayo tayari nimeshaiandaa unavujisha pepaa mzee
Mimi najua utakapotaka kwenda kabla wewe mwenyewe hujajua utataka kwenda wapi 😂😂😂.
 
Umesahau au kusaza kwa makusudi chawa, uchakachuaji, utekaji, wizi wa kura, na yote katika yote kusifia mtawala wao hata kama kufanya hivyo ni kumfunga kamba kama siyo kumzuga na kumzebeza ili wampige au awateu.
 
Hayo ni yako
 
Back
Top Bottom