๐Œ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐š๐ฆ๐›๐š๐ฒ๐จ ๐ง๐ข๐ง๐ข ๐ฎ๐ก๐š๐ค๐ข๐ค๐š ๐ง๐š๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐ŸŽ๐ŸŽ%.

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
1. Lissu atakuhukiwa kunyongwa hadi kufa Nov. 6.
2. CHADEMA itafutwa baada ya Tume ya Jaji Lila.
3. Kuna viongozi wengi wa Chadema sasa hivi, na wadini ambao watafunguliwa mashtaka ya uhaini baada ya ripoti ya Tume ya Jaji Lila.

Kwa uhakika zaidi, hayo yote hapo juu yatatimia na maisha Tanzania yataendelea kama kawaida.

Kama kuna mtu anadhani anaweza kuzuia hayo kutokea, basi aage ndugu zake kuanzia leo kwa sababu, hatokuwa na mwisho mzuri.
 
Yakitokea hayo yote mtapata nini? Yaani ungekuwa na akili timamu ungefahamu kwamba Itikadi huwa zipo tu na kutofautina mawazo na mitazamo ndio kichocheo cha maendeleo, lakini Sisi Watanzania kama hatujielewi hasa nyinyi mnaoendekeza chuki na kukosa hoja
 
1. Lissu atakuhukiwa kunyongwa hadi kufa Nov. 6.
2. CHADEMA itafutwa baada ya Tume ya Jaji Lila.
3. Kuna viongozi wengi wa Chadema sasa hivi, na wadini ambao watafunguliwa mashtaka ya uhaini baada ya ripoti ya Tume ya Jaji Lila.

Kwa uhakika zaidi, hayo yote hapo juu yatatimia na maisha Tanzania yataendelea kama kawaida.

Kama kuna mtu anadhani anaweza kuzuia hayo kutokea, basi aage ndugu zake kuanzia leo kwa sababu, hatokuwa na mwisho mzuri.
Aya JIPIGIE MAKOFI MATATU ๐Ÿ•ณ๏ธ
 
Lissu akihukumiwa kunyongwa mpaka kufa kitawaka kisha kitanuka mbaya kabisa.
ugaidi wa kweli utazaliwa hapa nchini.
 
And vice versa is true.

NB: TANGANYIKA IS NOT THE SAME ANYMORE AND IT NEVER WILL BE
 
1. Lissu atakuhukiwa kunyongwa hadi kufa Nov. 6.
2. CHADEMA itafutwa baada ya Tume ya Jaji Lila.
3. Kuna viongozi wengi wa Chadema sasa hivi, na wadini ambao watafunguliwa mashtaka ya uhaini baada ya ripoti ya Tume ya Jaji Lila.

Kwa uhakika zaidi, hayo yote hapo juu yatatimia na maisha Tanzania yataendelea kama kawaida.

Kama kuna mtu anadhani anaweza kuzuia hayo kutokea, basi aage ndugu zake kuanzia leo kwa sababu, hatokuwa na mwisho mzuri.
Sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu mzalendo anaweza kuandika kitu cha nanma hii kwa kujificha nyuma ya chama cha mapinduzi na Mh Raisi, kwasabbu sio misimamo yetu kama chama na sio msimamo wa mwenyekiti. Una matatizo ya akili.
Huyu Mpuuzeni
 
Naona hizo shanga ulizovaa kiunoni zimeanza kukuwasha...
 
1. Lissu atakuhukiwa kunyongwa hadi kufa Nov. 6.
2. CHADEMA itafutwa baada ya Tume ya Jaji Lila.
3. Kuna viongozi wengi wa Chadema sasa hivi, na wadini ambao watafunguliwa mashtaka ya uhaini baada ya ripoti ya Tume ya Jaji Lila.

Kwa uhakika zaidi, hayo yote hapo juu yatatimia na maisha Tanzania yataendelea kama kawaida.

Kama kuna mtu anadhani anaweza kuzuia hayo kutokea, basi aage ndugu zake kuanzia leo kwa sababu, hatokuwa na mwisho mzuri.
Hongereeni

Mkishafanya yote hayo malizieni na haya

1 .SAMIA SULUHU hata kufa Wala ndugu ndugu zake hawata kufa wataishi milele

2.Jaji Ndunguru na Wanzake wataishi maisha mazuri yasiyo na magonjwa Wala kifo.

3.Viongozi wa CCM na wana CCM wote wameagana na Mungu hakuna kifo Wala magonjwa kwao
 
Back
Top Bottom