Mambo ambayo Papa anafanya yananifikirisha sana

Harafu baada ya sarakasi zote hizo mwamedi akaja akakopi na kawadanganya kuwa ameshushiwa na Mungu.
Angekopi Quran ingekua vague sana,maana msingi (bible) iko vague na contradiction za kutosha kukupa kizunguzungu
 
Yesu hakuwa myahudi,labda unamaanisha muisrael
Pale msalabani Pilato aliandika maneno yaliyosomeka INRI kwa maana ya YESU MNZARETI MFALME WA WAYAHUDi wala si issa bin maryam.
Wakati mwingine muwe mnachuja vi stori vya mwamedi Mtaaibika
 
Pale msalabani Pilato aliandika maneno yaliyosomeka INRI kwa maana ya YESU MNZARETI MFALME WA WAYAHUDi wala si issa bin maryam.
Wakati mwingine muwe mnachuja vi stori vya mwamedi Mtaaibika
Uyahudi ni imani, kiongozi wa kiimani uyahudi hutafsiriwa mfalme huku kwingine (hasa bible),wayahudi walimkataa kuwa masihi,kuandikwa hivyo ilikua dhihaka kwake
 
Yesu hakuwa myahudi,labda unamaanisha muisrael
INRI is an abbreviation for the Latin phrase Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum, which translates to "Jesus the Nazarene, King of the Jews
 
INRI is an abbreviation for the Latin phrase Iesus Nazarenus, Rex Iudaeorum, which translates to "Jesus the Nazarene, King of the Jews
Kilichowakera pia 'waisrael' kwa yesu ni kusema yeye masihi, mfalme wa wayahudi,hayo maandishi yalikua dhihaka toka kwa waliomshitaki na kumuhukumu
 
Kila nikisema neno kuhusu ukatoliki na hao mapapa wao basi wanajazana inbox kwangu....

Umeongea jambo kubwa lenye maana.

Pia hiyo picha ni wazi Papa ni idol worship.

Mnahangaika na mambo mengi sana. Na hii inaonyesha jinsi mlivyo na imani haba. Mbona mimi yote haya hayanisumbui? I'm indeed unshakable kwa mambo haya ya imani, maana mara nyingi watu wengine wanayoona ni tatizo kwao, mimi sioni. In other words, nimevuka hiyo stage ya kulialia kama watoto wachanga wa imani. Kuhusu hao wanaokujia inbox umesahau kwamba 'like minds think alike?'
 
ONE WORLD
ONE WORLD RELIGION IMESHAKAMILIKA TUJIANDAE
 
Kiburi cha uzima cha waabudu sanamu
 
Kiburi cha uzima cha waabudu sanamu
I don't care! Sasa kama wewe huabudu na mimi na wenzangu tunaabudu sanamu, sababu shida yako ni nini? You just wasting your time! By the way, hata kuwa 'obsessed' na mambo ya wengine ni kuabudu sanamu, maana unafanya hiyo 'obsession' iwe kati yako na Mungu. Yaani you're idolising 'obsession'.
 
Lord Jesus cares the most about you.

Just look within your soul and beg for a mercy from our Greater, Almighty and Loving God

Repent
Remove the plank in your eye first...then you can talk about a speck in my eye.
 
Remove the plank in your eye first...then you can talk about a speck in my eye.
My message to you is clear. My be I am the last mesenger to you today.

Just i am not perfect but Jesus sent me to reveal the forgiveness plans to you.
What you need is to accept Jesus as your Master and Saviour.

Repent is the message
 
I can follow his message, not necessarily through you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…