Mambo ambayo wanafunzi wa vyuo wanavyovipenda vyuoni

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
Haya ni baadhi ya matukio ambayo wanafunzi huwa
wanayafurahia vyuoni: 1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual. 4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo. 5. Hii assignment ni page moja tu na si lazima
uichape. 6. Final exam soma test 1 and 2 na ile assingment ya
kwanza. 7. Matokeo yametoka hakuna sap. 9. Ratiba inaonyesha vipindi vitakuwa vinaisha
Alhamisi saa sita.
Ongeza na ya kwako unayoijua wewe
 
hahahahaaha naona na wewe umeanzisha thread.! By the way nimeipenda hiyoo

overr
 
Sio wote ni wale vilaza waliofaulu kwa bahati mbaya.
 
Hiyo namba 7 ni tamu kweli kweli.Wadau wa CoET najua mtakubaliana na hilo.
 
Haya ni baadhi ya matukio ambayo wanafunzi huwa
wanayafurahia vyuoni: 1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual. 4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo. 5. Hii assignment ni page moja tu na si lazima
uichape. 6. Final exam soma test 1 and 2 na ile assingment ya
kwanza. 7. Matokeo yametoka hakuna sap. 9. Ratiba inaonyesha vipindi vitakuwa vinaisha
Alhamisi saa sita.
Ongeza na ya kwako unayoijua wewe

watu kwa ku copy na ku pest wako vizuri..! Ungetakiwa ueleze na ulipoitoa hii kitu..! Shout out kwa masanja mkandamizaji kweny account yake ya fb...
 
Na wewe unahakika gan kama yeye pia hajakopy na kupest??
 
Haya ni baadhi ya matukio ambayo wanafunzi huwa
wanayafurahia vyuoni: 1. Ile assignment haitakusanywa leo. 2. Lecturer kasafiri, kipindi hakuna had atakapo rudi. 3. Hiyo kazi mfanye kwa group, sio individual. 4. Hakuna presentation, mkusanye hivyo hivyo. 5. Hii assignment ni page moja tu na si lazima
uichape. 6. Final exam soma test 1 and 2 na ile assingment ya
kwanza. 7. Matokeo yametoka hakuna sap. 9. Ratiba inaonyesha vipindi vitakuwa vinaisha
Alhamisi saa sita.
Ongeza na ya kwako unayoijua wewe

Acha kuiga,utakufa!!!!
 
Back
Top Bottom