Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Hii inawahusu ambao hawajaoa. Wewe uliyeoa pambana na hali yako. Hii haikuhusu.
2. Vijana wengi wamekuwa wakiniambia niwadokeze ni mambo gani wazingatie wanapochagua Mwanamke wa kumuoa.
3. Ingawaje mara kea mara Jambo hili ninalielezaga kwa namna moja au nyingine. Lakini kwa heshima ya wanaoniuliza, lakini pia kwa umuhimu wake sitachoka kulirudia hata ikiwa ji mara elfu Moja na moja.
4. Sitataja mambo ya Watibeli kwa sababu kwa wengi ni Complicated Sana ingawaje kiuhalisia sio magumu kihivyo.
5. Nitataja yale ambayo ni yaakili ya kawaida ambayo hata Wazazi wako waliokomaa namaanisha watu wazima kuanzia miaka 50+ watayatarajia kwa mchumba utakayemleta kwenu. Kama ifuatavyo;
a) Mwanamke sharti awe Mdogo, mbichi.
Unapomwambia mama au Baba ako
Kwamba umepata Mwanamke wa kumuoa, Wazazi wako wanajenga picha ya binti Mdogo, mbichi.
Hivyo lazima uzingatie hoja hiyo.
Wanasababu zao.
Nitakuandikia Uzi mwingine kueleza kwa nini unashauriwa kuoa mwanamke Mdogo, mbichi kiumri.
Hata kama sio Bikira lakini angalau asiwe mkubwa kiumri.
Asizidi miaka 22. Akizidi Sana 25 huko.
b) Mzuri na Mrembo haswa.
Kijana wangu. Wazazi wote duniani huwa proudly, wanaona fahari kijana wao akipata mwanamke mzuri wa sura na maumbile. Asije akakudanganya mtu. Kuoa mwanamke mzuri ni muhimu Sana sio kwa ajili tuu ya mbegu bali hata kwaajili yako wewe kama Mwanaume.
c) Tabia njema
Tabia njema hapa tunazungumzia kukutii, kukusikiliza, kuheshimu watu, kujiheshimu, Kuchapakazi,
Na usafi. Unapoambiwa mwanamke msafi wanamaanisha asiye na tabia za umalaya. Wengi wanafikiri usafi ni kufua, kuoga, sijui kusafisha nyumba.
Nope! Mwanamke akishakuwa msafi(sio Malaya) hiyo nyumba ni Safi na ndoa ni salama.
Mwanamke hata awe anaoga mara Saba kwa Siku, anasafisha nyumba Kwa sabuni gani, kama anatabia za kulala na mwanaume zaidi ya mmoja. Huyo ni mwanamke mchafu na hiyo nyumba ni chafu. Ndoa haiwezi kuwa salama. Kuzaa vitoto haramu ni kugusa. Kuchoropoa mimba za kigeni ni kugusa.
d) Mwanamke Mwenye Akili za Maisha.
Mwanamke mwenye akili ya maisha utamjua Kwa kuona anavyouchukulia familia yake(mumewe na watoto), vipaombele vyake,
Mwanamke anaendekeza urembo, fasheni, mashindano na wanawake wa huko mitaani. Huyo hafai.
e) Mwanamke atakayekulinda Mwanaume.
Wanawake wote wenye Akili, mama bora hujua. Mume wake yeye ndiye atakayemlinda.
Ndio maana watahakikisha hawampi stress mume.
Watahakikisha anakula mlo unaoeleweka kwa kuzingatia lishe na afya. Sio mume anafikisha miaka 40+ kisukari hicho, pressure hiyo.
Mke ndiye mlinzi na tabibu wa Mwanaume.
Haiwezekani mume analewa mpaka tilalila mke haimuumizi, hafanyi jitihada sababu ni kitu gani.
Mimi kama Mtibeli chunguzi zangu zianionyesha, wanaume wengi Walevi wanaokunywa wakalewa bwii hufanya hivyo kwa sababu ya Stress kutoka kwa Wanawake zao, kisha wanaofuatia ni hali ngumu ya maisha.
Wanaokunywa kwa starehe ni wachache.
Utamjua mwanamke atakayekulinda Kwa kuona namna anavyoku treat atakuwa ana act kama Mama yako Mzazi. Anakukemea na kukupigia kelele uache tabia mbaya. Na anafanya jitihada kukuombea, kukuletea wachungaji, masheikhe na waganga wakienyeji kadii ya imani ya familia yenu ili mradi tuu uachane na tabia Fulani mbaya
Kufikia hapo sina la ziada
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam