Mambo ambayo wengi wanapenda lakini wewe wala hayakuvutii, unawashangaa tu

Inshu za Betting/Mikeka sijawah hata kufikiria na hua naogopa sana washirika wa hii kitu its like Mateja, Makahaba, Majambazi nk navowachukulia.
 
Wanaume Kuangalia shilawadu hua naachwa domo wazi yani unakuta uko namshkaji anakwambia ngoja niwahi nikaangalie shilawadu hua akitoka nafuta hadi namba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…