M mmteule JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,883 Reaction score 14,600 Jun 3, 2018 #21 Inshu za Betting/Mikeka sijawah hata kufikiria na hua naogopa sana washirika wa hii kitu its like Mateja, Makahaba, Majambazi nk navowachukulia.
Inshu za Betting/Mikeka sijawah hata kufikiria na hua naogopa sana washirika wa hii kitu its like Mateja, Makahaba, Majambazi nk navowachukulia.
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 48,055 Reaction score 116,512 Jun 3, 2018 #22 Wanaume Kuangalia shilawadu hua naachwa domo wazi yani unakuta uko namshkaji anakwambia ngoja niwahi nikaangalie shilawadu hua akitoka nafuta hadi namba zake
Wanaume Kuangalia shilawadu hua naachwa domo wazi yani unakuta uko namshkaji anakwambia ngoja niwahi nikaangalie shilawadu hua akitoka nafuta hadi namba zake