Mambo ambayo yanaweza kukufanya uheshimiwe

Na ni njaa kweli. Kwenye mabar unakuta kijana mdogo anongea upumbavu mtupu usiofaa hata kusikilizwa na watu timamu ila kuna mtu mzima kakaa nae anacheeeka sababu tu bili yake italipwa.
Hivi mtu hana pesa anafuata nini bar? Huwa nashangaa sana🤔
 
Uheshimiwe ili iweje? Uishi kwa kuigiza ili uheshimiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…