Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hizi sehemu mbili mazoea na urafiki ziogopeni sana na ndio zina haribu biashara za walio wengi.
Biashara ikishakwenda kwenye mazoea wengi hawa badiliki wanaona poa tu na mwisho wa siku ujikuta biashara imekufa.
Biashara ikishafika steji ya urafiki sana tegemea kufa haraka sababu wengi watakumudu kama kukopa,pesa kutofika kwa wakati,wengi watajifunza mbinu kwako unazotumia kwenye biashara ili wakuzidi au kutumia mapungufu yako kwenye soko.
Siku njema