Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do.
Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri sana na kesho nasafiri tena kwenda kuzika ... Sababu ni kama zinafanana.
Mimi sio mtu makini kama nitakavyoeleza hapa chini lakini ni vyema tukachukua tahadhari.
Fanya hivi kuepuka na mauti isiyo na miadi yako.
1. Usiwambie watu ndoto zako, kuwa vague tu na msemo wa hali bado ni ngumu pesa hazipatikani... tunaparangana hivyo hivyo.
Kuanza kuelezea ma mega projects ni kutafuta maadui wa wazi na wasiri..
Hapa nazungumza na Wafanyabiashara wakati, Wanasiasa wachanga kama wabunge, mawaziri wachanga nk.. wewe ndoto za urais usikae umwambie mtu.. meza kama dawa na isikae itoke popote.... Jiepushe na vifo visivyo na miadi.
2.Fanya mazoezi..
Vijana wa mid age huwa tunajiona tuna afya sana kuliko uhalisia, the truth is we are not..
BP, DM huu ndio umri wake....
Vitu kama stroke, heart attack vipo lakini kufanya mazoez kila mara kunaounguza chance ya kufa kwa ugonjwa wowote hadi asilimia 30.
Tenga tu muda wako kias... Hata nusu saa siku tano kwa wiki, hata usiku... Vunja hayo mabanda uchwara hapo nyuma ya nyumba pafanye sehem ya mazoez... Weka taa anza mdogo mdogo.
3 .Usizoee kwenda eneo moja kwa starehee . Nitaeleza baadae
4.Usizoee kula chakula cha aina moja
5.Punguza nyama, wali na Bia yes Bia.
6.Sali sana na Muamini Mungu, its your life not a debate class
7.Usimuamini mke wako kupitiliza
8.Ficha hisia zako.. mambo ya my favorite, my lovely wife blabla watakunyosha wabaya wako
9. Ukiwa public usikose silaha kwenye gari/karibu na ulipo
10. Hao wanafiki hapo officini usiwaite marafiki... Kaaa nao mbali na wasijuzoee kiivyo... Men betray men when money is involved.
11.Usiwe na dem mmoja.. nitaeleza baadae
12. Kama bado hujaoa, subir kidogo kamilisha baadhi ya ndoto zako
13.Usizae watoto wengi
14. Usiwekeze nguvu kubwa kwa marafiki na wanawake... Hao masnitch watakuuza siku ikifika
15.Usipande boda boda mara nyingi
16. Usizoee hotel moja na usitabirike muda wa kuingia na kutoka.. na wala siku ya kuja na kuondoka
17. Usizoeane na baa medi mmoja.. wachanganye wawe wengi.. kama unakula pombe au vyovyote kwenye social set up
18. Usipokee simu kwa wakati, simu yeyote kama haikuwa kwenye mipango yako.. wacha ikate upige baadae.
19. Usikubali. Mialiko ya ghafla na watu ambao hamjazoeana sana... Hata awe top boss, wambie una safari ukirud.
20. Zuia sana hamu yako ya kula, ukienda kwenye sherehe au mkutano wowote na watu wengi hakikisha unakula kwanza kabla ya kwenda huko... .. wambie una food allergy, may be next time au chagua maji instead..
21. Ukipata cheo kikubwa jifiche na epuka pongezi zozote mpaka utakapo kizoea kabisa... tena ukiweza safiri..
22.Usimuongelee mtu yeyote kwenye simu kwa mabaya au information zake kwenye simu. wewe sema tu he or she is a nice and a kind person.... I dont understand the details but she or he is a nice guy just discuss this with her/him you will find out on them...
23.Usipige wake za wenyewe
24. Usilombe demu wa kazini kwako.. hata iweje...
25.Usitumie majina yako halisi kwenye social media.. kuna siku utajisahau and your character will be exposed..
26 Usipige picha na kitu au mtu unaempenda ukapost social media
27.Pata usingiz wa kutosha.. at least 7 hrs
28.Waombee na ukumbuke kwa wazee wako wa zamani...
29.Wapende watoto wako... mke/mume ni legal liability.., unless you are the lucky one ambae Mungu amekupea we nenda nae kwa akili huyo ulie nae.
30.Anza kumilikisha waoto wako mali zako... Kidogo kidogo..
31. Angalia afya yako mara kwa mara, pressure, sukari,vetc
32.Usikubali majibu ya vipimo vya hospital moja ukaanza dawa ya ugonjwa wowote mkubwa... Tafuta ushauri angalao kwenye hospital mbili au tatu kubwa
33. Usilombe demu hujapima ngoma.. hata iweje.. mambo ya condom kuna kuzoeana na kuloweka... We pima ngoma hatak acha.... Imeua wengi..
34.Usiendeshe gari kwenda mkoani kama wewe sio mzoefu .. tafuta mzoefu safiri nae hadi uzoee na uwe kwangalifu.
35.Epuka usafir wa pamoja kwenye matukio ya kijamii... Wewe panda wako either wa umma au nenda kwa ndege.. ingia gharama kidogo kulingana na uwezo wako.
Noah, Alphard, Costa kaa nazo mbali.
36.Usiage watu wa kwenu wala usiwataarifu ukiwa unaenda au kuondoka.. ibuka tu kama mzuka.. hasa kwa watu wa Moshi(wachaga) nitaeleza siku nikipata nafasi
37. Kama umeoa acha kutumia hotel za bei rahis kulomba au za mtaani kwako...
38.Usikubal kuonekana na mchepuko hadharan.. hata awe mzur vip...ukionekana iwe mbali sana na unapoish
39.Usikubali wageni wa kuishi nyumbani kwako, wasaidie huko walipo
40. Usifanye biashara na watu uliowazidi sana kipato...
Mungu akutangulie mpambanaji.. mengine watongeza wenye ujuzi zaidi yangu..
Nimesema nisema haya maana nimeona mengi hasa kwa wapambanaj niliokuwa nao kama marafiki na wnegine ndugu na wengine tumefanya nao kaz, wamedondoka jumla na wakatuachia huzuni.
Hii sio orodha ya kufa na kupona, na wala haizuii mauti... Ila itakuepusha na mengi.. chagua unayoweza.