Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

.
 
Attachments

  • Screenshot_20241129_080933_Instagram.jpg
    Screenshot_20241129_080933_Instagram.jpg
    128.1 KB · Views: 6
Hapa naomba nizungumze na wapambanaji, the super lucky, best performers na wasioridhika na mafanikio, wanawake kwa wanaume. Guys we got a work to do.

Kwa muda wa hivi karibuni hali si hali, nimepoteza washikaji wengi sana wengi ma fighter na majina yao yapo humu JF. Wengine X.... Tumesafiri sana na kesho nasafiri tena kwenda kuzika ... Sababu ni kama zinafanana.

Mimi sio mtu makini kama nitakavyoeleza hapa chini lakini ni vyema tukachukua tahadhari.

Fanya hivi kuepuka na mauti isiyo na miadi yako.

1. Usiwambie watu ndoto zako, kuwa vague tu na msemo wa hali bado ni ngumu pesa hazipatikani... tunaparangana hivyo hivyo.

Kuanza kuelezea ma mega projects ni kutafuta maadui wa wazi na wasiri..

Hapa nazungumza na Wafanyabiashara wakati, Wanasiasa wachanga kama wabunge, mawaziri wachanga nk.. wewe ndoto za urais usikae umwambie mtu.. meza kama dawa na isikae itoke popote.... Jiepushe na vifo visivyo na miadi.

2.Fanya mazoezi..

Vijana wa mid age huwa tunajiona tuna afya sana kuliko uhalisia, the truth is we are not..
BP, DM huu ndio umri wake....

Vitu kama stroke, heart attack vipo lakini kufanya mazoez kila mara kunaounguza chance ya kufa kwa ugonjwa wowote hadi asilimia 30.

Tenga tu muda wako kias... Hata nusu saa siku tano kwa wiki, hata usiku... Vunja hayo mabanda uchwara hapo nyuma ya nyumba pafanye sehem ya mazoez... Weka taa anza mdogo mdogo.

3 .Usizoee kwenda eneo moja kwa starehee . Nitaeleza baadae

4.Usizoee kula chakula cha aina moja

5.Punguza nyama, wali na Bia yes Bia.

6.Sali sana na Muamini Mungu, its your life not a debate class

7.Usimuamini mke wako kupitiliza

8.Ficha hisia zako.. mambo ya my favorite, my lovely wife blabla watakunyosha wabaya wako

9. Ukiwa public usikose silaha kwenye gari/karibu na ulipo

10. Hao wanafiki hapo officini usiwaite marafiki... Kaaa nao mbali na wasijuzoee kiivyo... Men betray men when money is involved.

11.Usiwe na dem mmoja.. nitaeleza baadae

12. Kama bado hujaoa, subir kidogo kamilisha baadhi ya ndoto zako
13.Usizae watoto wengi

14. Usiwekeze nguvu kubwa kwa marafiki na wanawake... Hao masnitch watakuuza siku ikifika

15.Usipande boda boda mara nyingi

16. Usizoee hotel moja na usitabirike muda wa kuingia na kutoka.. na wala siku ya kuja na kuondoka

17. Usizoeane na baa medi mmoja.. wachanganye wawe wengi.. kama unakula pombe au vyovyote kwenye social set up

18. Usipokee simu kwa wakati, simu yeyote kama haikuwa kwenye mipango yako.. wacha ikate upige baadae.

19. Usikubali. Mialiko ya ghafla na watu ambao hamjazoeana sana... Hata awe top boss, wambie una safari ukirud.

20. Zuia sana hamu yako ya kula, ukienda kwenye sherehe au mkutano wowote na watu wengi hakikisha unakula kwanza kabla ya kwenda huko... .. wambie una food allergy, may be next time au chagua maji instead..

21. Ukipata cheo kikubwa jifiche na epuka pongezi zozote mpaka utakapo kizoea kabisa... tena ukiweza safiri..

22.Usimuongelee mtu yeyote kwenye simu kwa mabaya au information zake kwenye simu. wewe sema tu he or she is a nice and a kind person.... I dont understand the details but she or he is a nice guy just discuss this with her/him you will find out on them...

23.Usipige wake za wenyewe

24. Usilombe demu wa kazini kwako.. hata iweje...

25.Usitumie majina yako halisi kwenye social media.. kuna siku utajisahau and your character will be exposed..

26 Usipige picha na kitu au mtu unaempenda ukapost social media
27.Pata usingiz wa kutosha.. at least 7 hrs

28.Waombee na ukumbuke kwa wazee wako wa zamani...

29.Wapende watoto wako... mke/mume ni legal liability.., unless you are the lucky one ambae Mungu amekupea we nenda nae kwa akili huyo ulie nae.

30.Anza kumilikisha waoto wako mali zako... Kidogo kidogo..

31. Angalia afya yako mara kwa mara, pressure, sukari,vetc

32.Usikubali majibu ya vipimo vya hospital moja ukaanza dawa ya ugonjwa wowote mkubwa... Tafuta ushauri angalao kwenye hospital mbili au tatu kubwa

33. Usilombe demu hujapima ngoma.. hata iweje.. mambo ya condom kuna kuzoeana na kuloweka... We pima ngoma hatak acha.... Imeua wengi..

34.Usiendeshe gari kwenda mkoani kama wewe sio mzoefu .. tafuta mzoefu safiri nae hadi uzoee na uwe kwangalifu.

35.Epuka usafir wa pamoja kwenye matukio ya kijamii... Wewe panda wako either wa umma au nenda kwa ndege.. ingia gharama kidogo kulingana na uwezo wako.
Noah, Alphard, Costa kaa nazo mbali.

36.Usiage watu wa kwenu wala usiwataarifu ukiwa unaenda au kuondoka.. ibuka tu kama mzuka.. hasa kwa watu wa Moshi(wachaga) nitaeleza siku nikipata nafasi

37. Kama umeoa acha kutumia hotel za bei rahis kulomba au za mtaani kwako...

38.Usikubal kuonekana na mchepuko hadharan.. hata awe mzur vip...ukionekana iwe mbali sana na unapoish

39.Usikubali wageni wa kuishi nyumbani kwako, wasaidie huko walipo

40. Usifanye biashara na watu uliowazidi sana kipato...

Mungu akutangulie mpambanaji.. mengine watongeza wenye ujuzi zaidi yangu..

Nimesema nisema haya maana nimeona mengi hasa kwa wapambanaj niliokuwa nao kama marafiki na wnegine ndugu na wengine tumefanya nao kaz, wamedondoka jumla na wakatuachia huzuni.

Hii sio orodha ya kufa na kupona, na wala haizuii mauti... Ila itakuepusha na mengi.. chagua unayoweza.
NAKUBALIANA NAWEWE KABISAAA,NA ALMOST THERE IN SOME ,AND SHOULD IMPROVE SOME OF AREA
 
SAWA
 
Ukifuata huu ushauri wako ni bora ufe tu kuliko kuishi ivo unavotaka
 
ALL IN ALL, naomba kipimo kinachotumika kujua kwamba fulani kafa mapema, kafa muda muafaka au kachelewa sana kufa..!!
Mkuu mifano ni mingi mno...
Hasa kwa wapambanaji walioanza kujipata..
Ajali, pressure, stroke, hiv, heart attack, poisoning, murder zote hizo ni mambo za kuondoa vijana mapema kwel?
Some spiritual being isnt right.
 
Jambo jema, ila assume katika ndoa humo ndani mke a practise hii theory na mume naye aifanyie kazi, kwakwel maisha hayatakua maisha tena zaidi ya mashindano na ubinafsi wa hali ya juu humo ndani.
Life life life, is such a complicated concept to comprehend.
Nafikir living simplicity while letting love lead can bring satisfaction for the sake of all
 
Hapo kwenye usipande boda boda mara nyingi wengine hii ndio kazi yetu ya kupata chochote na kusukuma maisha sasa hapa sijui tunafanyaje, any way wengine life limeshatupiga labda tukikata moto mapema huko mbele tutakutana na mishe nyingine za maana
Heshimuni sheria za barabarani,msiende speed sana na endesha chuma ukiwa umekamilika vaeni helmet wenyewe mnaziita element (just kidding) usiendeshe umevaa ndala yaani kwa ufupi ingia barabarani ukiwa umekamilika.

90% ya ajali za pikipiki barabarani ni makosa ya driver kutozingatia sheria ukizingatia hayo upo safely.
 
Kwa kuongezea,,,,,Ikiwezekana na kama sio muhimu sana kuishi Dar bora mtu uhamie mkoani,,,,,

Mikoani huko kuna chakula original,hewa safi, ajali za vyombo vya moto ni kidogo,n.k

nitaelezea vingine nikipata muda🥱
 
Back
Top Bottom