Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

Pamoja sana mkuu 🤝
 
Kabisa mkuu hii inaitwa SELF CARE
 
Mambo yote hayo ktk dini yetu ya Kiisalmu yameelezea isipokuwa hayo ya zina tumeambiwa tukaye nao mbali pamoja na ulevi lkn kulala mapema na kuamka mapema kusali kufanya mazoezi ,kufanya kazi na mipango yako ya baadae au malongo yako usimwambie mtu hata kuongea sana imekatazwa zaidi kuwa msikilizaji tu mbele za watu any way umetukumbusha sana hususan katika wakati huu mgumu dont trust NO BODY.Hii ni DUNIA DUME.
 
Life style inachangia kwa kiasi kidogo sana kifo cha mapema 30%.
Kifo cha mapema kinachangiwa kwa kiasi kikubwa na Genetics, kama unavyozaliwa na akili nyingi wakati wenzako ni ma mbumbumbu basi elewa unaweza kuwa na vinasaba vya magonjwa, miaka 30 tu una shinikizo la damu, kisukari na kansa ya utumbo mpana inakunyemelea huku figo nazo zikiannza kukosa ushirikiano maskini wakati hata kidimbwi kwenyewe hujawahi kwenda, pombe hutumii wewe ni fanta na maji kulala saa tatu kamili.
 

Umedesa wapi hii.... siamini kama imetoka kwenye hicho kibichwa chako.... THANKS
 
ALL IN ALL, naomba kipimo kinachotumika kujua kwamba fulani kafa mapema, kafa muda muafaka au kachelewa sana kufa..!!
 
41. Ukipanda gari/daladala usikae siti ya nyuma kabisa, na mimi nitailezea nikipata muda
 
Hapo kwenye usipande boda boda mara nyingi wengine hii ndio kazi yetu ya kupata chochote na kusukuma maisha sasa hapa sijui tunafanyaje, any way wengine life limeshatupiga labda tukikata moto mapema huko mbele tutakutana na mishe nyingine za maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…