Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

Unataka kusemaje mtoa mada kwamba Yesu alikuja duniani kuzurura?. Mengi uliyoyataja hapo Yesu ana nafasi ya kipekee kuyafix. Bila Yesu mtu mnyonge kama mimi ningekuwa nimeshafukiwa kitambo sana lakini naishi kwa sababu ameniepusha na vifo visivyo na kibali chake. Ngoja nikae zangu kimya nikisimulia humu watu watadhani chai😄🙏
 
Tupe habari tujifunze mkuu...
Duniani tunaish si kwa uwezo wetu bali Mungu mwenyewe..

Ila maarifa yatakuhifadhi
 
41. usiishi kwa matarajio makubwa sana kupita uhalisia.

42. usiji_compare na wengine.
Hizi muhimu, zipo kwenye six laws of maturity 😄

1. Stop telling people everything, most people don't care, and some secretly want you to fail.

2. Expect nothing, appreciate everything. Be grateful to every little thing in your life to find inner peace.

3. Choose your friends wisely. The fastest way to become better is to surround yourself with better people.

4. Do your best, trust the process. The harder you work, the luckiest you will get.

5. Control your self not others. Controlling others is strength, controlling yourself is a true power.

6. Learn to react less. When you control your reactions no body can manipulate you.
 
Uko Sawa kiongozi kuna Mzee juzi kapima hospital moja kaambiwa moyo umepanuka, na figo moja inashida,
Kaenda hospital ya pili kaambiwa bandana tu ndio ina shida na fungus za tumboni baasi
Hospital zingine siyo za kuchikulia majibu direct
 
Umeandika mambo ya msingi mwana jf mwanzangu,bra bra bra bravoooo.
 
Hii mitandao ya kijani imetufaa kwa upande mmoja lakini pia imekuja kutujaza maujinga mengi sana!
 
Yesu Gani aliyekuwa analiA huku anaogopa Kufa na kuomba aepushwe na Kikombe cha Mauti?Au yesu wa Mtwara yule jamaa alikuwa Dreva?
 
41. Usisome nyuzi za kipuuzi kama hii yako. Kifo hakina kanuni. Jinga wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…