Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi pamoja na kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.
Soma, Pia: Dkt. Manguruwe matatani, asomewa mashtaka 28 ya utapeli, uhujumu Uchumi
Soma, Pia: Dkt. Manguruwe matatani, asomewa mashtaka 28 ya utapeli, uhujumu Uchumi