Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Anavuna alichopanda.
Elimu yetu inatufanya tuwe wavivu kufikiri, kosa kubwa ni kutumia kiwahili kama lugha ya kufundishia, hatuwezi kutoka nje ya duara.Baada ya Kiboko ya Wachawi huyu nae amewafirimba Watanganyika... hivi nani katuroga??
Naigeria wanatumia kingereza ilaa dunia inawajua kwa mziki wao kwahyo kaz ya utpElimu yetu inatufanya tuwe wavivu kufikiri, kosa kubwa ni kutumia kiwahili kama lugha ya kufundishia, hatuwezi kutoka nje ya duara.
With english mtu anatapata uwanjea mpana sana wa maarifa na hii ndio hupelekea werevu.