Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli hapo wanatumia pesa zetu.Changamoto itakuwa ni fedha sababu ule ni mrad mkubwa na nssf wanatumia fedha za watu ambao ni watumishi na si fedha zao
Uwekezaji wa 5 star hotel sio wa kitoto
Sina hakika kama jamaa yako ataweza kumudu gharama sababu hotel nyingi za nyota 5 ni za wabia,
Mfano hapa mwanza ipo moja inajengwa mitaa ya capripoint inatarajiwa kuzinduliwa mwezi wa 6 hotel hii imejengwa na mfuko wa hifadhi ya jamii nssf gharama waliyotumia ni BILION 96
Ni gorofa 16 tu lakin gharama iliyotumika imechangamka kwel kwel
Hotel hii juu kabisa wamejenga parking ya helkopta
Kwahiyo ndio hivyo ndugu yangu maranyingi uwekezaji wa 5star hotel sio wa mtu/ mfanya biashara 1
Kitu kingine unachotakiwa kufaham 5 star hotel nyingi wanaoendesha sio wabongo
Kinachofanyika ukishajenga unatafuta mwekezaji sasa maranyingi huwa wanakuwa mataifa ya kigen hiyo hapo attachment ya hiyo hotel ambayo mpaka hapo imegharim bilion 96
Bro kumbe ulijipata 😹Habarini wakuu
Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo makubwa kama hoteli za nyota tano.
Mdau anataka kujenga hotel kubwa ya nyota tano, hapa nchini haswa katika mikoa ya Dar es Salaam na Arusha, je ni mambo yapi ya muhimu ya kuzingatia?
Kama mtaji hadi kukamilika, je kipi bora tenda akipewa mtanzania au mchina katika ujenzi, je hadi hoteli kuitwa ni ya NYOTA TANO inatakiwa kua na vigezo gani? Je kiwanja chenye ukubwa gani kinahitajika ama kinaweza faa kwa hio project?
Karibuni.