Mambo gani muhimu ya kuzingatia katika ujenzi wa Hoteli kubwa ya nyota Tano( FiveStars Hotel)?

Ramani ni mambo yote..tafuta Kwanza ramani kutoka kampuni kubwa zinazotambulika duniani uone project zao hotel za 5* ndio utaanza kufunguka...
 
Ramani ni mambo yote..tafuta Kwanza ramani kutoka kampuni kubwa zinazotambulika duniani uone project zao hotel za 5* ndio utaanza kufunguka...
Hizo kampun kubwa hapa kwetu hazipo?
 
Changamoto itakuwa ni fedha sababu ule ni mrad mkubwa na nssf wanatumia fedha za watu ambao ni watumishi na si fedha zao
Ni kweli hapo wanatumia pesa zetu.
Huwa wanajifanya kupinduapindua sheria ili kutuzubaisha.
 
Inamaana hii hotel mpaka leo haijakamilika tu!
 
Bro kumbe ulijipata 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…