Mambo gani ukizeeka utayajutia?

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Ukiwa mzee utayajutia haya[emoji116]

[emoji117]Kutokusafiri kwenda sehemu mbalimbali duniani.

[emoji117]Kufanya kazi ngumu.

[emoji117]Kutokutumia mda wa kutosha na wazazi wako.

[emoji117]Kutokufaidi maisha ya ujana wako.

[emoji117]Kuogopa kutamka "Nakupenda"


Karibu kwa nyongeza ya mambo mengine.
 
Kuwa chini ya utawala wa awamu ya 5
 
Ni ile asubuhi Kula kiporo cha wali alaf nikasahau ndizi ndo ktu nitajutiaga
 
Kukosa uwezo wa kupiga vitatu au hata kimoja Cha nguvu.
Lakini pia uwezo wa kutafuna nyama choma kisawasawa wakati hela unayo.
Kuingia na mwanamke guest au lodge, kila mtu anakuangalia utadhani umeshinda jackpot bingo.
 
kutofanya kazi kwa kuajirika!
 
Kutumia nguvu zako, muda wako na moyo wako kufanya kazi kwa uadilifu kutumikia mamlaka ya juu (Supreme Authority) ambayo ni dharimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…