Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
➡️➡️➡️ Umeandika kifalsafa sana...hata Aristoto akasome...Tunaishi mara moja tu, hivyo jitahidi uishi.
Pole Jojo; and Happy New Year too. You were terribly missed 🙏🏿
Yeah ni novena ya Mt. RithaNataman kukuuliza vingi Ila ngoja nijitahd wiki hii ntaleta mrejesho....
Novena ya Mt Ritha!
wife material mpaka kusali novena unasali😍😍😍 Ile novena haingopi ukisali kwa kumaanisha jirani.!!
Mi huu mwaka nimeupiga mwingi mpk natetemeka.!!
Lini tulikutana huko?Kumbe uliacha kwenda kwa Mwamposa 😂😂
Nitumie hiyo ya yuda Thade au unaweza ku upload hapa Jf nika ipakuaYeah ni novena ya Mt. Ritha
Sali kwanza hiyo na kuna sala nyingine ya Mt. Yuda Tadei nayo ni ya siku tatu ( Hii ni kwajili ya kuombea uchumi na kipato chako kwa ujumla, ukihisi kama umeyumba )
Nayo ni very powerful
DoneNitumie hiyo ya yuda Thade au unaweza ku upload hapa Jf nika ipakua
Pm kwangu inazngua kinoma.....
Pls i request
Thank youDone
Aaah sawaHii done ungeifuta pia manake namba yake inaonekana ulivyoquote
UnavojilegezaKabisaa sijui unakwama wapi
Utajiri niutafute kwa anaetapeli watu?Kipindi kile unatafuta utajiri
🤣🤣🤣🤣 shimba bwana hakuna furushi la kike!➡️➡️➡️ Umeandika kifalsafa sana...hata Aristoto akasome...
...Tusisahau pia kuepuka mafurushi - ya kike na ya kiume maana yanaweza kukuibia muda na furaha yako 😄🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
1)SIASA za bongo NI MCHEZO MCHAFU...usimuamini mwanasiasa vyama vya uponzani vya bongo ni BANDIA.
Wanaojitoa kufanya uharakati kwa kutumiwa kutumika na wanasiasa wanaumia hata kupoteza uhai kwa kuamini harakati BANDIA .
2)