Mambo gani umejifunza 2024?

Mambo gani umejifunza 2024?

Nataman kukuuliza vingi Ila ngoja nijitahd wiki hii ntaleta mrejesho....

Novena ya Mt Ritha!
Yeah ni novena ya Mt. Ritha
Sali kwanza hiyo na kuna sala nyingine ya Mt. Yuda Tadei nayo ni ya siku tatu ( Hii ni kwajili ya kuombea uchumi na kipato chako kwa ujumla, ukihisi kama umeyumba )
Nayo ni very powerful
 
1. Hata uwe mtu mwema kiasi gani Ukarimu sio wa kumfanyia kila mtu.. Binadamu ni wadhalimu sana, wanaweza kutumia wema wako kukudhuru

2. Jiweke na ujifikirie wewe kwanza katika choices zako maana dunia imejaa watu selfish ambao wanawaza kuchukua kuliko kutoa.

3. Mungu siku zote ni mwema. Ukipata usidharau watu, na ukikosa usikufuru kwa sababu kukosa kwako ndo kupata kwa mwingine, na kupata kwako ndio kukosa kwa mwingine
 
Yeah ni novena ya Mt. Ritha
Sali kwanza hiyo na kuna sala nyingine ya Mt. Yuda Tadei nayo ni ya siku tatu ( Hii ni kwajili ya kuombea uchumi na kipato chako kwa ujumla, ukihisi kama umeyumba )
Nayo ni very powerful
Nitumie hiyo ya yuda Thade au unaweza ku upload hapa Jf nika ipakua

Pm kwangu inazngua kinoma.....

Pls i request
 
1)SIASA za bongo NI MCHEZO MCHAFU...usimuamini mwanasiasa
vyama vya upinzani vya bongo ni BANDIA.
Wanaojitoa kufanya unaharakati pasipokutambua kuwa wana tumiwa/ kutumika na wanasiasa wanaishia kuumia hata kupoteza uhai kwa kuamini harakati BANDIA .(pole kwa walioumia na roho zote zilizopotea katika harakati za kudai haki....HAKI ITAPATIKANA MBINGUNI TU.Mungu pekee ndio hutoa haki.

2)VIJANA WAACHE KUTUMIKA NA WANASIASA WAACHE KUWA MTAJI CHEAP kutumika kama ngazi kwa wanasiasa bandia...hasara ni kwa familia zao na wategemezi wao na wao wenyewe.Watu wa amke waache kutumiwa na wanasiasa kama condom au toilet paper.
 
Back
Top Bottom