Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Yapo kibao!🤣🤣🤣🤣 shimba bwana hakuna furushi la kike!
Mwaka huu nimepambana nayo mawili. Nadhani nimefanikiwa kuyatoa mkuku japo limoja bado naona kama vile halieleweki eleweki 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo kibao!🤣🤣🤣🤣 shimba bwana hakuna furushi la kike!
Naishi miaka mingi asee mimi siogopeshwi na hao matapeliMtumishi unamuita tapeli?
Mwaka hautaumaliza hadi uende kwake ukatubu 😂
Kwa kweli nishajiregezaUnavojilegeza
Hapana bwana usitusingizie🤣🤣🤣Yapo kibao!
Mwaka huu nimepambana nayo mawili. Nadhani nimefanikiwa kuyatoa mkuku japo limoja bado naona kama vile halieleweki eleweki 😄
Kabisa.Yanga kachana sana mikeka.2024 nimejifunza kuwa kubeti siyo kazi
Natamani kuacha ila nimeota Mara kadhaa kuwa siku moja ntampatia kanji 😂😂😂😂😂Jitahidi uache kama umeona hupati faida
Kwa kwelKiufupi usiamini mtu,hujui rafiki ama adui ni yupi
Hii inakuwajeNimejifunza mwanamke kukupenda sio lazima uwe na fedha
Weka mbali mahuniano yako familia na marafiki,wengi sisi ngozi nyeusi tumejaa unafiki,husda na wivu.Happy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda
KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki na pesa haviendani...nikiwa namaanisha mwaka huu 2024 nimepoteza marafiki wengi sana sababu ya zile mambo za kupenda kuonea huruma rafiki akiwa na shida ya pesa matokeo yake mnaanza kusumbuana kwenye malipo
PILI, Usiruhusu rafiki yako awe na usemi wowote kuhusu mahusiano yako ya mapenzi...acha mahusiano yako yawe ya kwako tu,kama ukigombana na mpenzi wako fanya maamuzi bila kumshirikisha rafiki, Kiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako
Niwatakie kila la heri kwa mwaka 2025, Mwenyezi Mungu akatusaidie tutimize kila tutakaloliomba...Amen!
Happy new year in advance,mie nawapenda kinyama!
Uzi tayari.
Kibama ndio kitu gani,naunga mkono kuweka mipaka na marafiki.Wana wa Israel washakupiga na kitu zito mahi? 😹😹😹
Rafiki yako wa kweli kibama chako tyuu.!!
Sure!Utulivu all the way to 2025
Great one2024 nilichojifunza ni kutopararakia watu ambao walishaonyesha interest za kutokuwa pamoja na wewe hiki ni kisasi bora kabisa.
Pili kuheshimu muda kuliko vyote.
Tatu, kuwa na roho ngumu na kujiamini sambamba na kusimamia maamuzi yako
Sawa nitakuombea uwe mtoto mzuri 😀wife material mpaka kusali novena unasali
niombee nirudi kundini