Mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke?

Mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke?

bikra zilikuepo enzi za zama damu sio saiv
 
Watu wengi hujidanganya kwamba kuna kitu kinaitwa bikra kimejificha kwenye uke ambao haujawahi kuingiliwa. Wengi hufikiri anapomuingilia mwanamke kwa mara ya kwanza akamtoa damu basi ile damu ni bikira imevunjika. Ukweli ni kwamba damu hutoka kwa sababu ya michubuko iliyosababishwa na msuguano kati ya uume na ngozi laini ya uke ambayo haijawahi kuingiliwa hata mara moja. Mara nyingi damu hutoka kwa sababu watu hawatumii vilainishi (lubricants) wanapojamiiana kwa mara ya kwanza. Kiukweli bikra ni ile hali ya kutokuwahi kufanya mapenzi. Ndio maana hata baadhi ya wanaume ambao hawajawahi kufanya tendo la ngono utasikia wakiitwa/wakijiita mabikra. Ni kahadithi karefu kidogo.
 
Hivi nikwel mwanamke bikra yake upotea kwa kucheza mpira,ku drive baiskeli?

Au mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke

Kupanda farasi pia huweza kuondoa bikra.
 
We mwenyewe upo job au unasoma ili uje kuajiriwa upate hela ... username yako na unachokisema upo kinyume kabisa ungetumia unreality hapo sawa..... to me money is every thing[/QUOTE kauli ni ya kweli ila haiapply kwa kila mtu sio kila anaesoma anataka kuajiriwa..... as a matter of fact ajira ziko chache wasomi wengi... baadhi ya mambo ukisubiri kuajiriwa utaishia kuona watu wakiishi ndoto zako
 
Ni kwel kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom