Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

Mambo gani ya ajabu umekutana nayo ukiwa kwenye faragha?

🔨HUKMU YA kufanya Mapenzi kinyume na Maumbile 🔨
Hata Aoge Josho la janaba Kwa Maji ya Bahari Mbili Halitoki.
Mpaka pale atakapo Rejea Katika Touba nasua Katika Twahaa.👇

Mke na Mume kufanya Jambo Hilo watambue Wanazini Sio WANAFANYA Tendo la Ndoa ✋

MAKAZI Yao ni Fii NAAR Jahannamu

Anasema Rasul ﷺ Katika Swahihy zake 👇

"Allaah Hatomtazama mwanamume mwenye kumuingilia mkewe kwa nyuma" (an-Nasaaiy na Ibn Hibbaan kwa Isnadi nzuri).

2. "Amelaaniwa mwenye kumjia mwanamke kwa nyuma" (Ahmad, Abu Daawuud na Ibn 'Adiy).

3. "Mwenye kumuingilia mwenye hedhi au mwanamke kwa nyuma au kumuendea mchawi na kumuamini kwa anayosema basi amekufuru kwa aliyoteremshiwa Muhammad" (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na Ibn Maajah, na Isnadi yake ni Sahihi).

4. "Twaawuus amesema: 'Ibn 'Abbaas aliulizwa kuhusu mtu anaye muingilia mkewe kwa nyuma'. Akasema: 'Huyu ananiuliza kuhusu ukafiri'" (an-Nasaa'iy).

Wakishatwaharika basi waendeeeni katika pale Alipokuamrisheni Allaah. Hakika Allaah Huwapenda wanaotubu na Huwapenda wanaojitakasa. Wake zenu ni konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo" (2: 222-223).

Na kuziendea konde zenu mpendavyo, si sehemu ya nyuma, bali ni sehemu ambayo inapatikana uzazi na ndio ikafananishwa na konde/ shamba kwa sababu shamba hulimwa na kuota mazao ambayo kwayo hupatikana mavuno.

Kwa hivyo, ni ubaya sana kwa mwanamume kumwendea mkewe kwa nyuma na athari yake ni kubwa kwani inampatia shida sana mwanamke wakati wa kuzaa na matatizo mengine. Pia inaleta madhara ya kiafya, inakwenda kinyume na maadili matukufu na hii ni tabia mbaya sana.

Ama katika Dini yetu, hili ni jambo lililokatazwa kwa Aayah tuliyoitaja hapo juu

Kufanyaa UCHAFU wa Namna hiyo Ni Mila chafu za Makafiri (Quwm Luutu)

Maulamaa na Wanazuoni Wanasema Mtu kama Huyo Mwenye kuingilia na kufanya Kwa UTUPU WA Nyuma ni Najisi. Na kutengwa kwao ni kheri

Kwa sababu wanaenda Katika Sehemu ya Haramu

Ikiwa Mnyama akosei kumuingilia Mnyama mwenzake, iweje wewe binadamu ukosee?

Na Mwanamke Mwenye kuombwa na Mumewe Utupu WA Nyuma Kuomba kwake Talaka Ni kheri kwake. Maana Anataka kujitoa kwenye Uzinifu na Kufru ya Kikafiri.

Hata Mwanaume Ukiona Mkeo anazo Tabia hizo Jivue Katika ndoa hiyo.

Mpaka pale Atakapo Tubia nakuketa Taouba nasuaa (Toba ya kweli)

Wewe na Mnyama Nani Mwenye Akili na nani Aliye Pewa Maarifa?

Muogope Allah na uiogope siku mtakayo Rudishwa kwake Allah Mtukufu. Maana Hasira ya Allah ni Kali
Wabillah Tawfiyq

KARIBU KATIKA UISLAMU 🤝

FaizaFoxy

Mtayarishi ✍️ AbdillahSalami Salami Horance 🇹🇿
Sawa neno mnalijua sasa jee mpo tayari kulitetea kwa vitendo kama wafanyavyo talibans?
 
Back
Top Bottom