Mambo gani ya muhimu ya kuzingatia unapopata changamoto kufukuzwa/kuachishwa kazi

Joined
Jun 8, 2016
Posts
13
Reaction score
23
Ndugu zangu leo napenda kujua mambo gani ya msingi kipindi unapokosa kazi ni kipi cha kufanya kukabiliana na hali hii kwani mimi ni muanga wa kukosa kazi hivyo napenda kujua nini cha kufnya kipindi bado natafuta ujira mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…