KisiwaChaJagwani
Member
- Jun 8, 2016
- 13
- 23
Ndugu zangu leo napenda kujua mambo gani ya msingi kipindi unapokosa kazi ni kipi cha kufanya kukabiliana na hali hii kwani mimi ni muanga wa kukosa kazi hivyo napenda kujua nini cha kufnya kipindi bado natafuta ujira mwingine.