Mambo gani yanawapatia pesa macelebrity?

Mambo gani yanawapatia pesa macelebrity?

Nina ndugu yangu wa kike ni mmbongo muvi.....aisee hawa watu wanajua ku fake maisha balaa

Hawa wakike viungo vyao vya chini vinapata shidaaa ili mradi aende na fasheni na kupiga picha mlimani city
 
Mwanamke asie na akili zinazoumia ni sehemu zake za siri
 
Wanatengeneza pesa za kawaida,mfano akipiga show anasainishwa undisclosed deal analipwa milioni tatu anaongeza zero moja au mbili kweye interview ya Engswahili ya vichaneli uchwara.
 
Back
Top Bottom