KUKULU- KAKALA
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 312
- 1,299
Mwenyezi Mungu akusamehe na akufanyie wepesi katika magumu na kuponya madhaifu ya kimwili, kiakili na kiroho,1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
UMEPATA NAFUU KIDOGO KUTOKANA NA HII NDOTO YA HUYU JAMAA? MNAPATA SHIDA KWELI NA CHADOMO YENUbasi haya
SIO KUWA YATATOKEA KABLAnahofia ya march 2021 yasijirudie after election
Team Lissu consists of uncompromising personalities. Sitarajii kuona wakiingiza timu ulingoni bila meaningful reforms kufanyika!1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Naam na machawa waisome kama ilivyo1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

Watu wa aina yako mko na mchango mdogo sana katika Taifa alisema mwendazakeMwenyezi Mungu akusamehe na akufanyie wepesi katika magumu na kuponya madhaifu ya kimwili, kiakili na kiroho,
Aimen
No reform no election1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
π π πWatu wa aina yako mko na mchango mdogo sana katika Taifa alisema mwendazake
Bookmark post then tukutane mwisho Wa octoberNaomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Mungu awachukue mapema chawa kama wewe ili taifa liponeUMEPATA NAFUU KIDOGO KUTOKANA NA HII NDOTO YA HUYU JAMAA? MNAPATA SHIDA KWELI NA CHADOMO YENU
π π πMungu awachukue mapema chawa kama wewe ili taifa lipone
Pale fisi anapofuatilia mkono wa binadamu anayetembea akisubiri uanguke.If wishes were horses beggars would ride.1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Mungu akusamehe sana gentleman, kwakua hujui unenalo,Watu wa aina yako mko na mchango mdogo sana katika Taifa alisema mwendazake
George Simbachawene......JOSEPHAT MATHIAS GWAJIMAmkuu unamaanisha Lissu hatogombea urais kupitia Chadema.? na unaposema eti mgombea wa Chadema atotoka Ccm hayo ndio kama ya Lowassa kipindi kile je,Lissu na chama chake watampitisha huyo mwana Ccm kuwa mgombea wao wa urais.? inawezekana ww mleta mada ni mwana Ccm na huko ccm washampitisha samia na nchimbi kuwa wagombea kwahiyo nyie wengine wenye tamaa ya urais hamna nafasi tena.! hivyo mnataka kuleta wagombea wenu vyama vya upinzani..kama Lowassa na mafuriko yake alishindwa huko Ccm sasahivi kuna nani huyo mwenye nguvu,mvuto na anayeuzika kumzidi Lissu au Lowasa wa kipindi kile mnaempanga aje Chadema awe mgombea..je,huyo mtu wenu ni mzalendo kwa taifa ambae ataleta mabadiliko na maendeleo kwa nchi au ndio mwendelezo wa ulaji kama ilivyo ada ya Ccm baada ya kukosa fursa huko Ccm baada ya samia kuwawahi.?