PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Paskali mayalla na zile post zake za yeye, aliyeteuliwa na yeye, kama si yeye basi ni yeye.
 
Am

Amka dogo utajikojolea.
 
GOD is not in favour of violence
Imeandikwa kwenye Torati 6:15
Kwani BWANA, Mungu wako, Aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu, isije ikawaka Juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka Juu ya uso wa nchi.

so my friends, ladies and gentleman,
acheni punyeto na usagaji na utapeli wa pesa, uhuru na haki za wananchi mnaweza kuamsha ghadhabu za Mungu.

Lakini pia,
katila ile Yeremia 25:37, inasema

Na mazizi yenye amani yamenyamazishwa, kwa sababu ya hasira Kali ya BWANA.

so,
ni vizuri g55 na kamati kuu ya chadema kukaa pamoja vinginevo amani ikitoweka chadema watavurugana vibaya zaidi :NoGodNo:
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Nabii koko wewe katika ukoko wako

Manabii wote wanaootabiri kuhusu Lisu kushinda jiandaeni waumini wenu kuwakimbia makanisa yenu kwa jina la Yesu baada ya uchaguzi wa October na Samia kuapishwa

Hakuna atakayeendelea kuwaamini tena mtaachiwa majengo yenu msali na ngedere

Sababu mtathibitika ni.manabii wa uongo bila chenga

Natoa huu unabii hata bila kunena kwa lugha kabla ya kuutoa .mikanisa yenu inaenda kufa baada ya uchaguzi mkuu
 
Nabii koko wewe katika ukoko wako

Manabii wote wanaootabiri kuhusu Lisu kushinda jiandaeni waumini wenu kuwakimbia makanisa yenu kwa jina la Yesu baada ya uchaguzi wa October na Samia kuapishwa

Hakuna atakayeendelea kuwaamini tena mtaachiwa majengo yenu msali na ngedere

Sababu mtathibitika ni.manabii wa uongo bila chenga
Wewe amekusaidia nini huyo unaempigia Chapuo kiasi cha kutaka kutokwa mshipa wa shingo?
 
Subiri uchaguzi mkuu ufike hao manabii wa Lisu makanisa yao yatakuwa matupu

Watanzania wakihakiki kuwa huyu nabii muongo kwa takwimu hakika huwa hawapotezi muda wanahama wote wanamwachia jengo lake

Wajiandae kwa hilo
 
Swali langu hujajibu huyo unaemshupalia shingo amekupa nini wewe au basi tu Simba na Yanga si ndio?
 
Naomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Kubashiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance bila basis yoyote (pure gut feeling)! Kutabiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance kwa kutumia relevant knowledge and experience. Utabiri ni methodical.

Mwenye andiko hajasema basis ya maoni yake. Inawezekana anabashiri.
 
Kwa 50% upo SAHIHI , nami nasema Ameen ...ila hiyo ya Mgombea wa CDM kutoka CCM mmmh..UDESII!
Kaiba Sadaka zetu hapo naweza nikakwea masabauni nikaenda kumshuka shati lake lile na kumsabua makofi nyambafu, sisi wa kutuletea hadithi za watoto wa Cheichei?
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Na ikawe hivyo kwa uwezo wa Mungu.Ameen
 
Kubashiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance bila basis yoyote (pure gut feeling)! Kutabiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance kwa kutumia relevant knowledge and experience. Utabiri ni methodical.

Mwenye andiko hajasema basis ya maoni yake. Inawezekana anabashiri.
Mfano wewe useme leo asubuhi kwamba kesho asubuhi mvua kubwa inanyesha halafu watu wakiangalia juu wanaona hakuna dalili yoyote ya mvua jua kali balaa linawaka linachoma wengi wakakupuuza ila kesho asubuhi wanasikia mchele unamwagika kwenye mabati vua linapiga sio la kawaida na wengi huishia kusema fulani alisema jana mvua leo itanyesha kweli yule ni Nabii Mtoto
 
Back
Top Bottom