PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CDM will never recover to it's former glory, kama huamini u'r very delusional, hivi ndugu yako akiaga dunia (death) hautaamini na kuendelea kutunza mwili nyumbani hoping for recovery I.e ressurection??
Insanity
 
CDM will never recover to it's former glory, kama huamini u'r very delusional, hivi ndugu yako akiaga dunia (death) hautaamini na kuendelea kutunza mwili nyumbani hoping for recovery I.e ressurection??
Wewe unaugua ubongo wa minyoo kwenye kichwa cha kuku?
 
Namkubali Luhaga. Kila mtu ana kukosea kwake, ila bora uje na wazo jipya na ulitekeleze ukosee kuliko kukaa na kufanya jambo lile lile kila siku kila mwaka.
 
Kuna Hii Hulka/Tabia baadhi ya binadamu tunayo, ya kutokukubali uhalisia na kutokukubali pale mambo ambayo yeye anahisi ni sawa yakienda Tofauti.(yasiwe sawa).

Chadema wamezingua wenyewe.

Hata kama wakiruhusiwa kufanya uchaguzi hawatapata wabunge zaid ya watano.

Kuna mtu alitabiri Miaka 10 nyuma kuwa ACT kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Na ndio kinachokuja kutokea.

Wale G55 wataamia ACT na kuna wachache wanaweza wakapita. + Zitto kule kigoma + viti vya Ubunge kule Pemba.

Zitto anakuwa msemaji mkuu kambi ramsi ya upinzani. Maana siasa zake hazina ujinga ujinga wanachafuko.
 
Kuwa na akili ni pamoja na kufahamu, unachokishabikia kinamchango upi kwenye maisha yako

Unashabikia CCM ambapo inauwezo wa kumteka hata ndugu yako wa damu kisa kaenda kupugia kura chama kingine?
nakemea roho ya kuvaa bullet proof kuelekea chadema HQ,

nakemea roho ya kugoma kwenda kula chakula kwa chairman kwa hofu ya kuwekewa sumu,

nakemea roho ya walinzi binafsi wa heche kuwashushia kipigo cha mbwa koko viongozi wananwake wa chadema kama vile walivyomsulubisha Sigrada Mligo pale Njombe huku heche akitazama na akifurahia kipigo kile,

Aimen :pulpTRAVOLTA:
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.


4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.

1744224725751.png


Wana CCM, chawa na wanachama madalali watupishe haraka!

Tunayo miadi thabiti na walioutupa uongozi na kutupia utawala.
 
I understand ukweli unauma sana, holistic counselling will make u understand and attain progressive mental stability and be useful to your community
Hio minyoo inakusumbua kwenye ubongo sio bure
 
Nabii koko wewe katika ukoko wako

Manabii wote wanaootabiri kuhusu Lisu kushinda jiandaeni waumini wenu kuwakimbia makanisa yenu kwa jina la Yesu baada ya uchaguzi wa October na Samia kuapishwa

Hakuna atakayeendelea kuwaamini tena mtaachiwa majengo yenu msali na ngedere

Sababu mtathibitika ni.manabii wa uongo bila chenga

Natoa huu unabii hata bila kunena kwa lugha kabla ya kuutoa .mikanisa yenu inaenda kufa baada ya uchaguzi mkuu
Naona mavi yamekubana.... Where Lissu has been predicted as a winner!??? Au ndo kukurupukia post za watu....
 
Not true at all, nikianza kuandika lugha ya Malkia hapa utakaa chonjo

Nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki?
Waulize vyama vyote vilivyo kubali kuingia uchaguzi, yaani nyie ni "Odd man out' ??
 
Back
Top Bottom