PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kubashiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance bila basis yoyote (pure gut feeling)! Kutabiri ni kutoa maoni juu ya outcome ya game of chance kwa kutumia relevant knowledge and experience. Utabiri ni methodical.

Mwenye andiko hajasema basis ya maoni yake. Inawezekana anabashiri.
Asante
 
Kuna mgombe WA urais ,Hana uwezo wa kuzunguka mikoa mitano mfululuzo wakati wa kampeni

Wakati ,lisu Katoa mfano wa namna ya kufanya kampeni kawekwa korokoroni

LISU ,inawezekana anajua Hilo ndomana hataki aje apigwe stop ,kama ilivyokuwa kwa magufuli.....magufuli alivyoambiwa apumzike siku na lisu akatafutiwa kosa la kubumba. Nae akakaa siku 10

Ukisaini hayo yanahoitwa maadili tegemea hilo
 
Vyama vilivyosain ni wajinga, TAL ndyo mwerevu ? ameiingiza CDM kwa shimo la TEWA and it's FINITO for CDM
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Umesemaje?
 
Mzee ndimi mbili yule anachanga karata zake ili upande mazuri yatakapoangukia nae awepo..
Huwa analeta mabandiko ya kila upande, kisha siku likotokea katika hayo aliyosema anasema alitabiri😂
 
Kuna Hii Hulka/Tabia baadhi ya binadamu tunayo, ya kutokukubali uhalisia na kutokukubali pale mambo ambayo yeye anahisi ni sawa yakienda Tofauti.(yasiwe sawa).

Chadema wamezingua wenyewe.

Hata kama wakiruhusiwa kufanya uchaguzi hawatapata wabunge zaid ya watano.

Kuna mtu alitabiri Miaka 10 nyuma kuwa ACT kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Na ndio kinachokuja kutokea.

Wale G55 wataamia ACT na kuna wachache wanaweza wakapita. + Zitto kule kigoma + viti vya Ubunge kule Pemba.

Zitto anakuwa msemaji mkuu kambi ramsi ya upinzani. Maana siasa zake hazina ujinga ujinga wanachafuko.
Zitto sio mpinzani material
 
Huwa analeta mabandiko ya kila upande, kisha siku likotokea katika hayo aliyosema anasema alitabiri😂
Safi sana kumbe na wewe ushamshtukia anavyochanga karata zake na kujifanya hana upande.
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Unajaribu kubashiri sio?
Pole sana
 
Haya yakitokea, mimi mimi Mtoto wa Shule NAACHA KABISA KUWA MEMBER WA JAMII FORUMS. Hata nikitaka kuingia kwa jina jengine nizuiliwe!

Sababu ya kuondolewa: HANA SIFA WALA UWEZO WA KUWA MEMBER WA JAMII FORUMS!
 
Back
Top Bottom