PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Not true at all, nikianza kuandika lugha ya Malkia hapa utakaa chonjo

Nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki?
..inferiority complex, mi situmii standard English, ni ngeli yangu binafsi, niko njema ku manipulate lugha, we andika hiyo ya darsani uliyofanyia mtihani
 
Hakuna lolote litakalo tokea, the case is closed,
1)Chadema kwa kukataa kusaini imeshajiondosha
2)Chama cha ACT Kitavuna chadema wengi kupindukia
3)Mbowe ataendelea kukaa kimya,
4)Baadhi ya Wanachadema wataonelea lissu ameua chama na watamchukia sana kiasi, baraza kuu litakaa kikao kuona nini kifanyike kumwondosha nduli
5)NCCR Itapata nguvu kwa kiasi cha wastani
6)CCM, Itashinda kwa kishindo cha wastani wa 90%
 
..inferiority complex, mi situmii standard English, ni ngeli yangu binafsi, niko njema ku manipulate lugha, we andika hiyo ya darsani uliyofanyia mtihani
Sikia turudi kwenye mada nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki? Naona hapa unaanza kutiatia huruma unataka kuonewaonewa huruma unakamata kamata mtu unamtia ndani unambambikia kesi ya Uasi na Uhaini kisha unataka uonewe huruma? Kaa chini
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
We amka usingizini inaonekana ulibugia maharage sasa unaota ndoto za ajabuajabu
 
Kuna Hii Hulka/Tabia baadhi ya binadamu tunayo, ya kutokukubali uhalisia na kutokukubali pale mambo ambayo yeye anahisi ni sawa yakienda Tofauti.(yasiwe sawa).

Chadema wamezingua wenyewe.

Hata kama wakiruhusiwa kufanya uchaguzi hawatapata wabunge zaid ya watano.

Kuna mtu alitabiri Miaka 10 nyuma kuwa ACT kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Na ndio kinachokuja kutokea.

Wale G55 wataamia ACT na kuna wachache wanaweza wakapita. + Zitto kule kigoma + viti vya Ubunge kule Pemba.

Zitto anakuwa msemaji mkuu kambi ramsi ya upinzani. Maana siasa zake hazina ujinga ujinga wanachafuko.
Cdm hawahitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinataka kuwa chama tawala. Naona mnataka kufanya nafasi inayogombewa ni ya chama kikuu cha upinzani, na sio ya kushika dola. Machafuko wanaleta ccm na sio cdm, ila kwakuwa hawataki kutoka madarakani wanataka kuonyesha wanaotaka kuwatoa ndio waleta machafuko. Hakuna wajinga wa hivyo hivyo boss.
 
Sikia turudi kwenye mada nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki? Naona hapa unaanza kutiatia huruma unataka kuonewaonewa huruma unakamata kamata mtu unamtia ndani unambambikia kesi ya Uasi na Uhaini kisha unataka uonewe huruma? Kaa chini
Haki ni rights, perceive right ya kwako hainuhusu mimi & vice versa

The idea that rights are relative rather than absolute means that rights are subject to limitations and balances within a specific social, legal, and cultural context.
 
Chadema hawako tayari kupokea mgombea urais Toka CCM wamejifunza 2015 kwa Sasa sahau kama reforms zitafanyika mgombea ni Lissu
Mpina Sio Presidential material.... GWAJIMA ataondoka CCM Kwenda KUSAKA urais CHADEMA
 
Cdm hawahitaji kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinataka kuwa chama tawala. Naona mnataka kufanya nafasi inayogombewa ni ya chama kikuu cha upinzani, na sio ya kushika dola. Machafuko wanaleta ccm na sio cdm, ila kwakuwa hawataki kutoka madarakani wanataka kuonyesha wanaotaka kuwatoa ndio waleta machafuko. Hakuna wajinga wa hivyo hivyo boss.
Huwez mpiga Nyoka akiwa chumban alaf ww uwe nje na kumuua.

Kama sheria hizi hizi ziliwapa Wabunge 45.
Wangeshiriki na kama wangepita wangeenda kudai Bungen kwa kupeleka miswada mbalimbali ya hizi sheria kandamizi.

Kama mapendekezo ya Katiba ya Jaji Warioba yaliruhusiwa kujadiliwa Bungen,
Kwanini na hili wasingepigania likajadiliwa bungen ndan ya miaka hii 5?.

Sasa wako nje ya mfumo, kupigania hii Reform ni ngumu.
Ila wangekuwepo ingekuwa rahisi.

Nina uhakika kwa Huruma alizonazo Raisi , upinzan wachache wangeingia Bungeni.
Ili TZ ionekane kimataifa kuwa ina Demokrasia.

Najua Chadema hawatak hizi Huruma.

Bas wasubirie 2030 wapambane tena.
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Vizuri,
Chanzo cha taarifa?
samia afikishiwe andiko mezani kwake tafadhali
 
Na we si umtaje huyo hapo namba 3
...
 
Huwez mpiga Nyoka akiwa chumban alaf ww uwe nje na kumuua.

Kama sheria hizi hizi ziliwapa Wabunge 45.
Wangeshiriki na kama wangepita wangeenda kudai Bungen kwa kupeleka miswada mbalimbali ya hizi sheria kandamizi.

Kama mapendekezo ya Katiba ya Jaji Warioba yaliruhusiwa kujadiliwa Bungen,
Kwanini na hili wasingepigania likajadiliwa bungen ndan ya miaka hii 5?.

Sasa wako nje ya mfumo, kupigania hii Reform ni ngumu.
Ila wangekuwepo ingekuwa rahisi.

Nina uhakika kwa Huruma alizonazo Raisi , upinzan wachache wangeingia Bungeni.
Ili TZ ionekane kimataifa kuwa ina Demokrasia.

Najua Chadema hawatak hizi Huruma.

Bas wasubirie 2030 wapambane tena.
Umeshahitimisha mjadala 100%, vyama pinzani vilivyosaini kuingia uchaguzi wameelewa hivyo, siyo kwamba wako happy na mfumo, lakini atleast wameimua kuingia front for progressive fight to attain their demands
 
mkuu unamaanisha Lissu hatogombea urais kupitia Chadema.? na unaposema eti mgombea wa Chadema atotoka Ccm hayo ndio kama ya Lowassa kipindi kile je,Lissu na chama chake watampitisha huyo mwana Ccm kuwa mgombea wao wa urais.? inawezekana ww mleta mada ni mwana Ccm na huko ccm washampitisha samia na nchimbi kuwa wagombea kwahiyo nyie wengine wenye tamaa ya urais hamna nafasi tena.! hivyo mnataka kuleta wagombea wenu vyama vya upinzani..kama Lowassa na mafuriko yake alishindwa huko Ccm sasahivi kuna nani huyo mwenye nguvu,mvuto na anayeuzika kumzidi Lissu au Lowasa wa kipindi kile mnaempanga aje Chadema awe mgombea..je,huyo mtu wenu ni mzalendo kwa taifa ambae ataleta mabadiliko na maendeleo kwa nchi au ndio mwendelezo wa ulaji kama ilivyo ada ya Ccm baada ya kukosa fursa huko Ccm baada ya samia kuwawahi.?
Ni Mlawi.
 
Back
Top Bottom