Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
😅😅😅Mungu awachukue chawa mapema Taifa lipone ,maana ni laana ilio kuu katika Taifa la Bwana

Satan companyHaya yakitokea, mimi mimi Mtoto wa Shule NAACHA KABISA KUWA MEMBER WA JAMII FORUMS. Hata nikitaka kuingia kwa jina jengine nizuiliwe!
Can you confirm to me that you've God's company? Ahahahahaha!!Satan company
Bwana wa tzBwana wa CDM?
CBwana wa tz
Mazalau yenu ccm yamefika mwisho , mnaenda pigwa pigo moja Takatifu mpaka mjute , huwezi mfungulia kesi uchwa wa ya uhani mwana wa Mungu lissu ukabaki salama asema Bwana.Bwana wa CDM?
Ubashiri ni kiarabu maana yake tabiriNaomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Yumo humu! rafiki yake bichwa komwe
Itakuwa poa sana Mungu akiingilia kati kwa mara nyinginenahofia ya march 2021 yasijirudie after election
Kuna mgombea ataaga na uchaguzi kuhairishwa kwa siku miezi kadhaaMwenyezi Mungu akusamehe na akufanyie wepesi katika magumu na kuponya madhaifu ya kimwili, kiakili na kiroho,
Aimen![]()
Embu m-tag aje mkuu.Kuna jamaa flani hapa JF alitabiri mechi ya simba na waarabu na ikawa perfect kwa 98%.
Hebu aje na utabiri wake nyota kwenye scenario hii tuone!.
Yote haya yanaweza kutokea lakini si mwaka huu 2025...1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
kuna kibaka na tapeli wa siasa korokoroni ataomba bullet proof vest yake awe analala nayo mahabusu baada ya Uchaguzi mkuu wa amani wa October mwaka huu 🐒Kuna mgombea ataaga na uchaguzi kuhairishwa kwa siku miezi kadhaa
Mtu pekee ninaye muamini kwenye utabiri ni MAGAMBA MATATU wengine naona wababaishaji tuu1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Kumbe Uzi Toka kwa Member??😀😀😀 Naamini ni taarifa ya kweli, Member kaja kimkakati kufungua account JF, Kwa ajili ya kuleta habari njema toka jikoni!! Aksante sana new Member wa JAMII FORUM1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Anzeni kumwondosha aliyejichagua kwa kura yake mwenyewe.Hakuna lolote litakalo tokea, the case is closed,
1)Chadema kwa kukataa kusaini imeshajiondosha
2)Chama cha ACT Kitavuna chadema wengi kupindukia
3)Mbowe ataendelea kukaa kimya,
4)Baadhi ya Wanachadema wataonelea lissu ameua chama na watamchukia sana kiasi, baraza kuu litakaa kikao kuona nini kifanyike kumwondosha nduli
5)NCCR Itapata nguvu kwa kiasi cha wastani
6)CCM, Itashinda kwa kishindo cha wastani wa 90%