Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Halafu usijisahaulishe nimekuuliza unajua nini maana ya haki? Unaanza kuzunguka mbuyu hapaYou're now miserably crucified alongside your messiah, TAL.
Halafu usijisahaulishe nimekuuliza unajua nini maana ya haki? Unaanza kuzunguka mbuyu hapaYou're now miserably crucified alongside your messiah, TAL.
Ushaanza kupoteana teyari useless CCM membersYour misery should not be generalized to everybody
..mimi ni non-partisan, sina chama wala dini, I am happly free, ila nina mawazo huru yanayo kukera, haiwezekani wote tuwe na same thinking and understanding, kama hiyo diversity inakukera, pole sana.Ushaanza kupoteana teyari useless CCM members
NAOMBA MUNGU ALIANGAMIZE KABISA TUANZE UPYA.....MAANA HUU NI USE..G SASA.TANZANIA YANGU.
TAIFA LINAANGAMIA HILI
Sasa wewe kielewele hueleweki unasimamia kwa wapi na unakalia kwa wapi kwenye chumvi unataka uwemo na kwenye sukari unataka uwemo, kwa hio nikueleweje ulichokua unasema pale juu au sasa point zimeisha upepo umekata umeona uwe neutral si ndio? Wakati wewe ni CCM member..mimi ni non-partisan, sina chama wala dini, I am happly free, ila nina mawazo huru yanayo kukera, haiwezekani wote tuwe na same thinking and understanding, kama hiyo diversity inakukera, pole sana.
Umeongea kwa sauti kubwa sanaNAOMBA MUNGU ALIANGAMIZE KABISA TUANZE UPYA.....MAANA HUU NI USE..G SASA.
..mimi sina ujinga kama wewe, wa kuwa party member wa chama chochote cha siasa, ila niko huru kukosoa na kushabikia selectively mazuri ya chama chochote, na kukosoa pia/dislikeSasa wewe kielewele hueleweki unasimamia kwa wapi na unakalia kwa wapi kwenye chumvi unataka uwemo na kwenye sukari unataka uwemo, kwa hio nikueleweje ulichokua unasema pale juu au sasa point zimeisha upepo umekata umeona uwe neutral si ndio? Wakati wewe ni CCM member
Naona sasa umehama umehamia kwenye kipengele cha ujinga?..mimi sina ujinga kama wewe, wa kuwa party member wa chama chochote cha siasa, ila niko huru kukosoa na kushabikia selectively mazuri ya chama chochote, na kukosoa pia/dislike
Wote tu wajinga, ila I am far better than you, uliyejitoa ufahamuNaona sasa umehama umehamia kwenye kipengele cha ujinga?
Ufahamu kujitoa kuhusu nini na wewe ujinga wako ni nini ambao umenizidi mimi? Umenizidi mimi ujinga kiasi gani? Sema mwenyewe mimi sipo hapa kukusemeaWote tu wajinga, ila I am far better than you, uliyejitoa ufahamu
Ufahamu kujitoa kuhusu nini na wewe ujinga wako ni nini ambao umenizidi mimi? Umenizidi mimi ujinga kiasi gani? Sema mwenyewe mimi sipo hapa kukusemea

Kwa maoni yangu hawafai kuishi kabisaWatu wa aina yako mko na mchango mdogo sana katika Taifa alisema mwendazake
toka lini idd amin dada ,akaelewa democrasia na mchakato wa uchaguzi ni nn? Pichayako inaaksi hiloVyama vilivyosain ni wajinga, TAL ndyo mwerevu ? ameiingiza CDM kwa shimo la TEWA and it's FINITO for CDM
AsanteUbashiri ni kiarabu maana yake tabiri
😅😅😅Ubashiri ni kiarabu maana yake tabiri
😅😅😅toka lini idd amin dada ,akaelewa democrasia na mchakato wa uchaguzi ni nn? Pichayako inaaksi hilo
u"r referring to the little dictator TAL who has successfully fractured CDM into G55 and his faction, he is untested and unexperienced politician. Id Amin was for better leader than u think😀toka lini idd amin dada ,akaelewa democrasia na mchakato wa uchaguzi ni nn? Pichayako inaaksi hilo
ondoa ujinga wako huo na utumwa wa kimalkia huo(ulienda shule kujua kiingereza)u"r referring to the little dictator TAL who has successfully fractured CDM into G55 and his faction, he is untested and unexperienced politician. Id Amin was for better leader than u think😀
Amin is credited for constructing, purchasing and maintaining national assets abroad. In 1974, Uganda joined the Organisation of Islamic Conference. He united the country’s once fractious Muslims under the banner of the Uganda Muslim Supreme Council. He contributed generously to projects of different faiths in the country. Amin created a special department of religious affairs, which was almost at ministerial level.
He also brought back Sir Edward Muteesa II’s body from the UK for state burial with full honors on April 4, 1971.
Amin is also remembered for linking Uganda to the rest of the world by putting up earth satellite stations at Mpoma in Mukono and at Ombaci in West Nile region.
una allergy na ngeli🙄kumbe nabishana na imbecili mwenye microcephaly, nimefurahi sana kijua akili yako, eh pls kindly proceed to entertain my mind..ondoa ujinga wako huo na utumwa wa kimalkia huo(ulienda shule kujua kiingereza)
