PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwambie Bi Mkubwa aache kuendekeza waganga, wachawi, makafara na majini ili tu kuendelea kuketi pale, hadi mvua mwaka huu zimekuwa za kusua sua na anaweza kusababisha ghadhabu kuu
mganga wako anakudanganya gentleman,

graduate mzima unaendekeza ushirikina na ramli, dah sana šŸ’
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Mbowe anasubiri dau lipande tu kutoka kwa bwana Abdul atimkie CCM
 
Mganga wangu ni Mungu, Ndani ya Kristo,
Lakini yeye na wasaidizi wake si kuhaha huko,
Michanganyo kama yote
na mbona ni kama mshirikina wewe gentleman?

na halafu sasa si ukahubirie wapendwa huko kwa kanisa, unambwelambwela nini sasa humu jukwaani kwenye siasa šŸ’
 
Vipi kuchoma vyavu za raia?
Ilikuwa ni zile zenye kuvua kila kitu nyavu ndogo zinazoua samaki wachanga vitoto vya samaki, nadhan hujui tu ila maziwa yalikuwa yanakaribia kuishiwa uzalishaji wa samaki maana vinakwanguliwa hadi visivyoliwa na vinatupwa nje. Pia ni sehemu ya sheria kuna nyavu za matundu ya kipenyo fulani ndio zinaruhhsiwa.
 
Kabla ya hapo raia walikuwa wamewapa elimu juu ya hilo?

Nyavu zao ni haramu, hazihitajiki baada ya kuzichoma waliwanunulia zenye kukidhi vigezo au ilikula kwao watajijua?
 
na mbona ni kama mshirikina wewe gentleman?

na halafu sasa si ukahubirie wapendwa huko kwa kanisa, unambwelambwela nini sasa humu jukwaani kwenye siasa šŸ’
Mwambie Mama yako Samia awe na imani kwa Mungu aache michanganyo
 
Namuona Josephat Gwajima, na hii mission ilianza pale alipo zunguka kila Wilaya nchi nzima na alikuwa anajaza watu. Pale upepo ulikuwa unapimwa na alifanikiwa sana hivyo ana uhakika na anachoenda kufanya.
 
Namuona Josephat Gwajima, na hii mission ilianza pale alipo zunguka kila Wilaya nchi nzima na alikuwa anajaza watu. Pale upepo ulikuwa unapimwa na alifanikiwa sana hivyo ana uhakika na anachoenda kufanya
 
George Simbachawene......JOSEPHAT MATHIAS GWAJIMA
Gwajima ikatokea chedema kumpa nafsi ya kugombea urais chadema au mwanaccm yoyote ichi chama nitakilaani milele, ya mzee lowasa yanatosha.

Chadema ina watu ,kama wakashindwa kumpata mgombea basi wampe dogo janja ,na mwenyekiti Bavicha taifa

This time chadema haitaji mamluki ,tumejifunza mengi tokana na mzee Lowasa .

Chadema ipo na watu na isije fanya ujinga huu

Chadema sio pango la walanguzi asema Bwana
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Huu ni ushuzi
 
Mama atakuwa Rais ila hatamaliza mitano, Mungu atatenda haki, wenye hofu ya Mungu watajua kwa nini marais wawili wamekufa wakiwa madarakani , wachache watajirekebisha maisha yataendelea Nchimbi atakuwa Rais Roho ya Useminari itamrudia na kuna baadhi ya vitu atavirekebisha na 2030 huenda kukawa na uchaguzi wenye nafuu
 
"The prayer of the hawk does not get the chicken"
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Huyo mganga wenu tunguli zake zimechakachuliwa
 
Back
Top Bottom