Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Jeshi la Tanzania haliwezi vitu kama hivi kwa sababu serikali inayoongozwa na CCM wanajua jinsi ya kula na wakubwa.Mkuu upande wako wewe unasemaje?
Au ww una hisi tunaenda kutawaliwa na jeshi kwa muda?
Shida ya ku copy na kupaste ndio hii.....umekuwa kokoro😅😅u"r referring to the little dictator TAL who has successfully fractured CDM into G55 and his faction, he is untested and unexperienced politician. Id Amin was for better leader than u think😀
Amin is credited for constructing, purchasing and maintaining national assets abroad. In 1974, Uganda joined the Organisation of Islamic Conference. He united the country’s once fractious Muslims under the banner of the Uganda Muslim Supreme Council. He contributed generously to projects of different faiths in the country. Amin created a special department of religious affairs, which was almost at ministerial level.
He also brought back Sir Edward Muteesa II’s body from the UK for state burial with full honors on April 4, 1971.
Amin is also remembered for linking Uganda to the rest of the world by putting up earth satellite stations at Mpoma in Mukono and at Ombaci in West Nile region.
This is my own scribes, not copied any where, u refrain to agree on disagreements, unfortunately that's the policy of your miserable CDMShida ya ku copy na kupaste ndio hii.....umekuwa kokoro😅😅
Uchaguzi ukiwa huru na haki mama hawezi mshinda Lissu nae mama anajuaNabii koko wewe katika ukoko wako
Manabii wote wanaootabiri kuhusu Lisu kushinda jiandaeni waumini wenu kuwakimbia makanisa yenu kwa jina la Yesu baada ya uchaguzi wa October na Samia kuapishwa
Hakuna atakayeendelea kuwaamini tena mtaachiwa majengo yenu msali na ngedere
Sababu mtathibitika ni.manabii wa uongo bila chenga
Natoa huu unabii hata bila kunena kwa lugha kabla ya kuutoa .mikanisa yenu inaenda kufa baada ya uchaguzi mkuu
Kuna mzanzibari mwanamke atafarikiHALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
😀nyie si ndyo mliowahi kuweka kambi airport, eti mnasubiri ndege ya kuwapeleka mbinguni. IMANI na confidence za kijinga ni opium of the poorUchaguzi ukiwa huru na haki mama hawezi mshinda Lissu nae mama anajua
Aisee hatari.Jeshi la Tanzania haliwezi vitu kama hivi kwa sababu serikali inayoongozwa na CCM wanajua jinsi ya kula na wakubwa.
Yaani wanapewa pesa zozote wazitakazo, wanawaambia chungeni hao makopro na wasio na cheo chochote wasije kuungana na raia!.
Ubashiri: hufanywa na waganga au watu wenye maono ya kiroho kuhusu mambo yatakayotokea siku zijazo. Hili limekaa kiroho zaidi.Naomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Ila watanzania, acha waseme tu kuwa tuna uwezo mdogo wa kufikiri.1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Wewe na familia yako ni Ma ng'ombe,baba yako aliuza ng'ombe akabaki na ng'ombeWatajuana wenyewe. Sisi ni mang'ombe tu.
Ok. whatever makes you feel better.Wewe na familia yako ni Ma ng'ombe,baba yako aliuza ng'ombe akabaki na ng'ombe
2025 nani atashinda u presidaaMpina Sio Presidential material.... GWAJIMA ataondoka CCM Kwenda KUSAKA urais CHADEMA
Kwanza ifike MWEZI WA Saba teuzi za wawakilishi zitokee na chama kimoja kibadilishe mpeperusha bendera Yao Juu Kwa juu ndipo ntakuja na Jibu.2025 nani atashinda u presidaa
Jon Mrema???wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
Hii namba nne ikifanyika CHadema haitochukua urais wasije kurudia makosa ya 2015. Heshima ya chama ni kumpa mtu nafasi ya kugombea urais aliyekihangaikia chama na siyo mwanachama ambaye hana hata mwaka ndani ya chama.1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
To God every thing is possible,before God every things are possible, trust God![]()