PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CDM nawapongeza kuendelea kusimama kidete kutaka reforms mbalimbali zifanyike, ila na katiba mpya ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu,
Je mgombea uraisi wa Chadema atakuwa Januari Makamba au Josephat Gwajima?
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.


4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
 
huyo Simbachawene ndio wale wale wabovu tu..Gwajima sio mbaya sana ana kitu na vp kuhusu LUHAGA MPINA me naona ana afadhali kuliko wenvi huko Ccm..bora Mpina
Mimi anayefaa ni;

1. Anthony Mtaka.

2. Dr Emmanuel Nchimbi.

3 Josephat Gwajima sema hawajawahi kuwa naibu Waziri au waziri kamili pia si Mromani Catholic.

4. Silvester Masele.

5. Tundu Antipas Lissu, shida yake anaweza kuwa mwenye kumsikiliza sana Chikwete.

6. Godbless Lema.

7. Kassim Majaliwa Kassim.

8. Venance Mabeyo (kama itakuwa kwenda kinyume na taratibu.)

9. Dotto Biteko.

10. Vecent Nyerere.
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.


4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Ulale pema peponi
 
Imeandikwa kwenye Torati 6:15
Kwani BWANA, Mungu wako, Aliye katikati yako ni Mungu mwenye wivu, isije ikawaka Juu yako hasira ya BWANA, Mungu wako, akakuangamiza kutoka Juu ya uso wa nchi.

so my friends, ladies and gentleman,
acheni punyeto na usagaji na utapeli wa pesa, uhuru na haki za wananchi mnaweza kuamsha ghadhabu za Mungu.

Lakini pia,
katila ile Yeremia 25:37, inasema

Na mazizi yenye amani yamenyamazishwa, kwa sababu ya hasira Kali ya BWANA.

so,
ni vizuri g55 na kamati kuu ya chadema kukaa pamoja vinginevo amani ikitoweka chadema watavurugana vibaya zaidi :NoGodNo:
Mwambie Bi Mkubwa aache kuendekeza waganga, wachawi, makafara na majini ili tu kuendelea kuketi pale, hadi mvua mwaka huu zimekuwa za kusua sua na anaweza kusababisha ghadhabu kuu
 
M
And to be sure odds enough... TUNDU LISSU atatoka Jera na KUPITILIZA UBALOZI WA MAREKANI kabla ya Kwenda OFISI ZA CHAMA KUHUTUBIA na atakataa mualiko WA ikulu.
shaurini hivi akitoka aende moja kwa moja kwenye nyumba ya ibada baada ya hapo aende kwenye ofisi za chama mwisho ndio aende ubalozini au?
 
Si rahisi, wachawi na waganga nchi zima zimemwangwa pesa ili waweke ulinzi, masheikh nao wamesema majini ya kila namna yamlinde, hapo kwake yeye ni neutral death😂😂
Nani aliishi milele? Mungu akiamua hakuna mzungu, shekh, mchungaji wala jina litabadili uamzi wake
 
Mbona CDM wanatekana na kuuana, mko kwenye gasping stage, kinachofuata ni Death certificate and Burrial permit ya CDM, u will never recover or ressurect
Kama serikali ina ushahidi wa hiki unachokisema na haijawachukulia hatua hao unaowasema basi ni serikali ya hovyo
 
CDM nawapongeza kuendelea kusimama kidete kutaka reforms mbalimbali zifanyike, ila na katiba mpya ni muhimu sana kwa ustawi wa taifa letu,
Je mgombea uraisi wa Chadema atakuwa Januari Makamba au Josephat Gwajima?
Ni ndoto, kiuhalisia haitaweza kutokea
 
Namkubali Luhaga. Kila mtu ana kukosea kwake, ila bora uje na wazo jipya na ulitekeleze ukosee kuliko kukaa na kufanya jambo lile lile kila siku kila mwaka.
Mimi nimekuwa nikimfuatilia hivi karibuni, je wakati akiwa waziri alifanya kitu kipi na kipi chenye faida na raia na nchi?
 
Hakuna lolote litakalo tokea, the case is closed,
1)Chadema kwa kukataa kusaini imeshajiondosha
2)Chama cha ACT Kitavuna chadema wengi kupindukia
3)Mbowe ataendelea kukaa kimya,
4)Baadhi ya Wanachadema wataonelea lissu ameua chama na watamchukia sana kiasi, baraza kuu litakaa kikao kuona nini kifanyike kumwondosha nduli
5)NCCR Itapata nguvu kwa kiasi cha wastani
6)CCM, Itashinda kwa kishindo cha wastani wa 90%
Mipango ya majizi ya raslimali za Taifa
 
Huwa analeta mabandiko ya kila upande, kisha siku likotokea katika hayo aliyosema anasema alitabiri😂
Hakika, mara mpango ni mpango mzima, mara Lissu ni bonge la Rais, mara ikipendeza 2025 twende na mwanamke, ni kinyonga.
 
Kuna jamaa flani hapa JF alitabiri mechi ya simba na waarabu na ikawa perfect kwa 98%.

Hebu aje na utabiri wake nyota kwenye scenario hii tuone!.
Mkuu upande wako wewe unasemaje?
Au ww una hisi tunaenda kutawaliwa na jeshi kwa muda?
 
Mimi nimekuwa nikimfuatilia hivi karibuni, je wakati akiwa waziri alifanya kitu kipi na kipi chenye faida na raia na nchi?
Kwanza kwa nini amekuwa ni mhasi wa chama na amebaki kwa hicho chama?
Mipango ya majizi ya raslimali za Taifa

Mipango ya majizi ya raslimali za Taifa
CHADEMA NI MCHWA RUZUKU YA 2.7B IMEPIGWA KIMYA KIMYA, JOIN THE CHAIN IMETAFUNWA..!

Siri imefichuka kupitia maridhiano Serikali iliwalipa Chadema ruzuku kiasi cha shilingi bilioni 2.7 waliyoikataa ndani ya miaka mitatu!
Jambo la kushangaza zaidi wakati Chadema ikipokea kiasi hiki cha fedha chama hiki walikusanya michango kutoka kwa wananchi katika Operesheni iliyopewa jina la Join the Chain huku hesabu ya zilikusanywa kiasi gani hazikuwekwa hadharani.

--hivyo ni vilio ndani ya CDM, ni moja ya sababu ya mpasuko ndani ya chama uliozaa G55
 
Back
Top Bottom