Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,121
- 2,322
Hapa nahisi unaweza kushawishi jukwaa! 😄LUHAGA PAMOJA NA LEMA NI CAMPAIGN MANAGERS WA MGOMBEA WA CHADEMA AJAYE
Hapa nahisi unaweza kushawishi jukwaa! 😄LUHAGA PAMOJA NA LEMA NI CAMPAIGN MANAGERS WA MGOMBEA WA CHADEMA AJAYE
Unaota. Unamfahamu vizuri chui jike???1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Mpina Sio Presidential material.... GWAJIMA ataondoka CCM Kwenda KUSAKA urais CHADEMA
Kuna Hii Hulka/Tabia baadhi ya binadamu tunayo, ya kutokukubali uhalisia na kutokukubali pale mambo ambayo yeye anahisi ni sawa yakienda Tofauti.(yasiwe sawa).
Chadema wamezingua wenyewe.
Hata kama wakiruhusiwa kufanya uchaguzi hawatapata wabunge zaid ya watano.
Kuna mtu alitabiri Miaka 10 nyuma kuwa ACT kitakuja kuwa chama kikuu cha Upinzani.
Na ndio kinachokuja kutokea.
Wale G55 wataamia ACT na kuna wachache wanaweza wakapita. + Zitto kule kigoma + viti vya Ubunge kule Pemba.
Zitto anakuwa msemaji mkuu kambi ramsi ya upinzani. Maana siasa zake hazina ujinga ujinga wanachafuko.
Mzee ndimi mbili yule anachanga karata zake ili upande mazuri yatakapoangukia nae awepo..
"The curse of a hen will have no impact on an eagle"C
Mazalau yenu ccm yamefika mwisho , mnaenda pigwa pigo moja Takatifu mpaka mjute , huwezi mfungulia kesi uchwa wa ya uhani mwana wa Mungu lissu ukabaki salama asema Bwana.
Kwamba wewe ulale kwenye kitanda futi 6×6 na mito juu ,alafu Mwana wa Mungu alale kwenye cimenti , utukufu ,ukuu mnaoutaka na ambao umewanogea hamtaupata tena , anasema Mungu wangu na mwaminifu sana tunza hii ,pumbavu .
Odds zipoje hapo?Kuna jamaa flani hapa JF alitabiri mechi ya simba na waarabu na ikawa perfect kwa 98%.
Hebu aje na utabiri wake nyota kwenye scenario hii tuone!.
The curse of a hen will have no impact on an eagleUnajaribu kubashiri sio?
Pole sana
Haki ya nini?Sikia turudi kwenye mada nimekuuliza unaelewa nini maana ya haki? Naona hapa unaanza kutiatia huruma unataka kuonewaonewa huruma unakamata kamata mtu unamtia ndani unambambikia kesi ya Uasi na Uhaini kisha unataka uonewe huruma? Kaa chini
Hio minyoo inakusumbua kwenye ubongo sio bure
.bora yq minyoo inaatibika, ila brain wash unayo suffer ni irreversible, na utaishia kupata epilepsyHio minyoo inakusumbua kwenye ubongo sio bure
endelea na ramlinahofia ya march 2021 yasijirudie after election
So what do you prefer to have for a dinner suffering, irreversible or epilepsy? SAH.bora yq minyoo inaatibika, ila brain wash unayo suffer ni irreversible, na utaishia kupata epilepsy
Tukuite nabii nani1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Wewe unaijua haki ya nini?Haki ya nini?
Sijui haki uliyoikosa, ndyo nimeuliza ni haki gani? be specificWewe unaijua haki ya nini?
Specific about what? Don't you know what's Justice? Nazungumzia kumshika mtu kwa makosa ya uongo na mashtaka ya uongo wewe unadhani hio ni haki?Sijui haki uliyoikosa, ndyo nimeuliza ni haki gani? be specific
The World🌎 is Living Suffering is Your ChoiceSo what do you prefer to have for a dinner suffering, irreversible or epilepsy? SAH
You choose to suffer and you will suffer just like jesusThe World🌎 is Living Suffering is Your Choice
You're now miserably crucified alongside your messiah, TAL.You choose to suffer and you will suffer just like jesus
Your misery should not be generalized to everybodySpecific about what? Don't you know what's Justice? Nazungumzia kumshika mtu kwa makosa ya uongo na mashtaka ya uongo wewe unadhani hio ni haki?