ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Akiiona ndio inakuaje?
Akiiona ndio inakuaje?
Bado ngoma ni mbichi sana.1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Aisee,ngoja tuone1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

Ajaye ni meAkiiona ndio inakuaje?
Kwa hiyo nikusaidiaje?Ajaye ni me
Yaani unamaanisha kijani watabadili mgombea urais ndani ya chama!!?how!!?chama kimoja kibadilishe mpeperusha bendera Yao Juu Kwa juu ndipo ntakuja na Jibu.
Mpasuko utaotokea kijani miezi tajwa, haujawah tokea.Yaani unamaanisha kijani watabadili mgombea urais ndani ya chama!!?how!!?
gwajiboi kama kaingia ulingoni kwa mguu mmojaGeorge Simbachawene......JOSEPHAT MATHIAS GWAJIMA
Ninaona Tundu Lissu akiachiwa huru muda mfupi UJAO..... Na ninaona Pressure KUBWA sana ndani ya Idara ya usalama.... They want to maintain their good reputation.Namba 2 taua
Namba 2 TAYARI tunaendelea kufatilia uongo wako.
Kumbe Mko jikoni mnajua?Ninaona Tundu Lissu akiachiwa huru muda mfupi UJAO..... Na ninaona Pressure KUBWA sana ndani ya Idara ya usalama.... They want to maintain their good reputation.
KAKA YANGU MWAKITALU MUNGU ANAONGEA NA WEWE KUPITIA SAUTI UNAYOISIKIA NDANI JUU YA KESI ZA TUNDU LISSU.... TAREHE MOJA JULAI NI SIKU MUHIMU MNO KWAKO DPP.
Mbona juni inaisha sasa mkuu? Au kuna juni nyingine huko mbele ya hii
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Muda ni mwalimu mzuri.) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
Na una sauti yake kubwa sanaMuda ni mwalimu mzuri.
Sasa kesi ni 1 July,Mbona juni inaisha sasa mkuu? Au kuna juni nyingine huko mbele ya hii
Tarehe ya kuachiwa ilitakiwa iwe juni 30 kesi imepelekwa mbele Hadi moja julai ( siku 15 kutokana na sheria ya mahakama) and kama usipokaza Kichwa utajua namaanisha nini na nilimaanisha nini .... It was not an issue of precision but the issue of occurrence of particular event speculated.Mbona juni inaisha sasa mkuu? Au kuna juni nyingine huko mbele ya hii
Duu watu mna info. BhanaTarehe ya kuachiwa ilitakiwa iwe juni 30 kesi imepelekwa mbele Hadi moja julai ( siku 15 kutokana na sheria ya mahakama) and kama usipokaza Kichwa utajua namaanisha nini na nilimaanisha nini .... It was not an issue of precision but the issue of occurrence of particular event speculated.