4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mungu awachukue chawa mapema Taifa lipone ,maana ni laana ilio kuu katika Taifa la BwanaMungu akusamehe sana gentleman, kwakua hujui unenalo,
Aimen
Safari hii itakuwa before electionnahofia ya march 2021 yasijirudie after election
Pale fisi anapofuatilia mkono wa binadamu anayetembea akisubiri uanguke.If wishes were horses beggars would ride.
Wait and see.... Wonders never ends.Pale fisi anapofuatilia mkono wa binadamu anayetembea akisubiri uanguke.If wishes were horses beggars would ride.
Sawa ngoja tusubirie1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Naomba Mungu akubakize wewe,Mungu awachukue chawa mapema Taifa lipone ,maana ni laana ilio kuu katika Taifa la Bwana
huyo Simbachawene ndio wale wale wabovu tu..Gwajima sio mbaya sana ana kitu na vp kuhusu LUHAGA MPINA me naona ana afadhali kuliko wenvi huko Ccm..bora MpinaGeorge Simbachawene......JOSEPHAT MATHIAS GWAJIMA
Hayo nayaona sana, mwisho wa siasa za kulazimisha umefika.nahofia ya march 2021 yasijirudie after election
Mpina Sio Presidential material.... GWAJIMA ataondoka CCM Kwenda KUSAKA urais CHADEMAhuyo Simbachawene ndio wale wale wabovu tu..Gwajima sio mbaya sana ana kitu na vp kuhusu LUHAGA MPINA me naona ana afadhali kuliko wenvi huko Ccm..bora Mpina
Delusions are real and sometimes incurableMwenyezi Mungu akusamehe na akufanyie wepesi katika magumu na kuponya madhaifu ya kimwili, kiakili na kiroho,
Aimen
before God every things are possible, trust GodDelusions are real and sometimes incurable
Gwajima?? hakuna miujiza/ushirikina wa kuirudisha CDM kwa main road, wataendelea na hallucinations "no reform no election" till 2030Mpina Sio Presidential material.... GWAJIMA ataondoka CCM Kwenda KUSAKA urais CHADEMA
Mbona km umeongea kitu kimoja mkuu?Naomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Je huu ni utabiri au unabii?1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.
- Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
- Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.
2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.
Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.
- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI
3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.
4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
-Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.
5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU
Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.
6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.
- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.
7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
GOD is not in favour of violencebefore God every things are possible, trust God
False prophecy but temporarily healingJe huu ni utabiri au unabii?
Huu ni ubashiri tu kama vile simba ikicheza na lipuli nini kitatokea. SIkuizi ni ajira kabisaNaomba mnisaidie kujibu haya maswali yangu mawili.
1. Je, kuna tofauti gani baina ya UBASHIRI na UTABIRI?
2. Hili andiko la Impactinglife ni Ubashiri au Utabiri?
Kabla.SIO KUWA YATATOKEA KABLA