MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mbona haijapatikana mpaka sasa bado wameketi chini? Hauoni shida? Na si hapo tu. Sehemu nyingi kuna changamoto za aina hii.Pesa ya dawati itaparikana na wema kwenda Korea atakwenda vilevile shida Iko wapi ndugu