Mambo haya yanavunja moyo walipakodi nchini kwetu

Nilimshangaa huyu mama, kasimama mbele ya wasanii. Anawaambia tuliwakopesha hamrudishi ila nitawakopesha tena!!! Halafu watoto wanakaa nje na wanaandikia chini 😢 Wasanii wanakopeshwa milioni 40, kila mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…