Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Mambo Huangamia (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Ilitolewa mwaka wa 1958 . Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na Hakuna Starehe Tena (1960) na
Mshale wa Mungu (1964).


Mkondo wa hadithi
Mhusika mkuu anaitwa Okonkwo , tajiri katika kijiji cha Umuofia . Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na wamisionari Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya Ukristo. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.
Katika vitu nilikuwa siviwezi mashuleni ni hizo hadithi sijawai kusoma hata moja secondary hapa nimesoma hadi alipokutana na wa missionary nikasikia kichefu chefu ...kwa nini wasiweke hadithi kama za abunuasi mashuleni badala ya huu upumbavu wa Nigeria na mavitabu mengine ya kijinga.
 
Back
Top Bottom