Kulishwa chakula na mtu mweusi , haswa mwenye ngozi iliyosinyaa(Mzee).π Hapo natema pupupupu!.
Kuitwa jina la mtu mjinga/kichaa/au yoyote nisiyempenda kwa alivyo mfano unaitwa 'we kasoloboi' wakimaanisha sijui jamaa flani la kihindi ila sijui tabia yake. Mwingine anakuita 'we Zebedayo nini' Dah!
Kingine ni kuitwa MUME WA BIBI HAHAHA, Hapo bibi ananiita mimi kuwa mme wake.
Ni hayo tu na ni utoto tu.